Harmonize kavuka mipaka. Mlie karibu na huyu mtu mshaurini vizuri

Harmonize kavuka mipaka. Mlie karibu na huyu mtu mshaurini vizuri

Dogo kwa namna moja tungesema anajitahidi, ila naona baada ya kutoa wimbo wa Ushamba ni kama washabiki tumemgeuka.

Natumaini management yake inapata hizi backlashes na itamshauri vizuri.

Bado yuko kwenye right track.
Sio mwanamuziki mbaya.
Kabiiiisa.
Sehemu moja tu wamsaidie.
Aondoe mentality ya kujitafsiri kwa kuwa mshindani wa Naseeb.
Hajitendei haki.
Na itamtesa mno.

Hana sababu yoyote ya kuprove anyone right.
Wimbo wake wa Aiyola na Bado, zipo kwenye nyimbo bora kabisa.
Hata aliiimba na Nandi.

Mi ni shabiki hasa wa Diamond, lakini simuoni kama anapaswa kuwa benchmark ya mwanamuziki bora.

Na hapaaaa, ndo Rajabu anapojimaliza.
Kumtizama Naseeb kama Kiwango chake cha ubora hivyo akikipita ndo nafsi yake itulie.
Anajikuta anacopy cat vitu ambavyo vinalazimisha watu wavitizame kwa kioo cha diamond matokeo yake wanaona hazifanani na vinabore.
Paaap!!!
Wanamshusha manyota.
Wakati angeweza kabisa kusimama kwenye lines zake na akawa bora kwenye mstari wake na hata huyu Baba Tee wetu akatamani kumuiga.

Ila sijui kama kwenye team yake ana hata watu wanawaza hivo, zaidi ya kusubiri Naseeb atoe wimbo wao warekodi video za kuuponda.
Mxxxxxxiiiie
 
Uzi huu na comment zote humu za kishamba acheni ushamba watanzania
Kwanini mmekaa kujadili maisha ya watu?

Maisha binafsi ya mtu yanakuhusuni Nini
Na kama mnajiona mko sawa sana badilisheni dunia au Tanzania iwe Kama mnavyotaka nyie ni jambo ambalo hamuwezi sasa kwanini mdajadili ujinga
Kama umeona ni ujinga. Pita kimya. Kuna tatizo. Wasanii wa kiume wana ukike mwingi sana
Hii sio sawa.
 
Back
Top Bottom