I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
- Thread starter
- #21
Nyuma ya pazia😅Jamaa Kawa Hovyo Sana
Bado Nadhani Kupakatwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyuma ya pazia😅Jamaa Kawa Hovyo Sana
Bado Nadhani Kupakatwa
Tigo yake itakuwa inasoma zantel au tritelUnaenda shopping kabisa mnapigana vikumbo na pisi kali kwenye maduka ya urembo kuchagua hereni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
VIP sisi wamasai mkuu???Mawazo yangu.
Mwanaume yoyote ambae amekamilika hasawa, yaani rijali la kiafrika hata awe maarufu vipi au awe na pesa vipi, hawezi kutoboa masikio au kusuka.
Wanaume wote wanaosuka na kutoboa masikio nawaona ni kama mashog.a
Haya ni mawazo yangu lakini.
Samahani, naomba nikazie, mwanaume wa kiafrika anayesuka na kutoboa sikio avae heleni mimi namhesabu kama sh.oga tu.
Sijawahi hata kukutana na harmonize lakini huu mnaoleta humu ni ushamba tuHarmonize punguza hasira, kubali watu wakupe ushauri.
Kwa vijana wa Dar kawaida tuUnaenda shopping kabisa mnapigana vikumbo na pisi kali kwenye maduka ya urembo kuchagua hereni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasubiri jibuVIP sisi wamasai mkuu???
Huyu dogo mbaya jmn khaa!! Hebu ona huo mpuaKwa akili ya kawaida mwanaume anaejielewa hawezi kufanya haya. Imefika wakati baada ya mazoea ya kusuka "twende kilioni" naona kaanza kuvaa na zile ''hereni kubwa" View attachment 1636696za akina mama.
Muda utaongea. Tuendelee kuwa watazamaji.
View attachment 1636697
Naunga mkono hojaMawazo yangu.