Harmonize kavuka mipaka. Mlie karibu na huyu mtu mshaurini vizuri

Dogo kwa namna moja tungesema anajitahidi, ila naona baada ya kutoa wimbo wa Ushamba ni kama washabiki tumemgeuka.

Natumaini management yake inapata hizi backlashes na itamshauri vizuri.

Bado yuko kwenye right track.
Sio mwanamuziki mbaya.
Kabiiiisa.
Sehemu moja tu wamsaidie.
Aondoe mentality ya kujitafsiri kwa kuwa mshindani wa Naseeb.
Hajitendei haki.
Na itamtesa mno.

Hana sababu yoyote ya kuprove anyone right.
Wimbo wake wa Aiyola na Bado, zipo kwenye nyimbo bora kabisa.
Hata aliiimba na Nandi.

Mi ni shabiki hasa wa Diamond, lakini simuoni kama anapaswa kuwa benchmark ya mwanamuziki bora.

Na hapaaaa, ndo Rajabu anapojimaliza.
Kumtizama Naseeb kama Kiwango chake cha ubora hivyo akikipita ndo nafsi yake itulie.
Anajikuta anacopy cat vitu ambavyo vinalazimisha watu wavitizame kwa kioo cha diamond matokeo yake wanaona hazifanani na vinabore.
Paaap!!!
Wanamshusha manyota.
Wakati angeweza kabisa kusimama kwenye lines zake na akawa bora kwenye mstari wake na hata huyu Baba Tee wetu akatamani kumuiga.

Ila sijui kama kwenye team yake ana hata watu wanawaza hivo, zaidi ya kusubiri Naseeb atoe wimbo wao warekodi video za kuuponda.
Mxxxxxxiiiie
 
Unasukwa? Na nani? Bi mkubwa wako?

Anorectal line yako iko fresh kabisa?[emoji15][emoji848]
Nikiwa mdogo mama na dada ndo wasusi wangu ila nw nina masusi wangu binafsi

Hayo sasa ni mawazo yako na siyapingi
 
Kama umeona ni ujinga. Pita kimya. Kuna tatizo. Wasanii wa kiume wana ukike mwingi sana
Hii sio sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…