Harmonize (Konde Boy) usiipe kisogo hadhira iliyokutoa jalalani

Kwenye 49% inayoonyesha ni ya Diamond, yeye na mkewe wamo humo. Diamond anabaki inasemwa na 18%. Sasa ikija kwenye haya ya biashara, waache waamue. Interview zake kaongea vizuri sana, msionee watu wivu wakitaka kufanya yao.
 
Ila kwani mtu akiimba ni lazima aishie kuimba tu, kwanini hamtambui inaweza ikawa ni moja ya mapito katika maisha yake na yeye anataka kufanya mengine?
Kama ni siasa inampendeza ni sawa tu, punguzeni kutaka kupangia watu maisha huku hata hamfahamiani zaidi ya kusoma udaku na chumvi za mitandaoni.
 
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni
Hawezi Kuachwa Tu, Bora Aambiwe Ukweli Halafu Aamue Mwenyewe, Asiyesikia La Mkuu Huvunjika Guu

Kuna Mengine Nadhani Anayaharakisha Bila Kujua
Tanzania Leo, Unashangiliwa, Kesho Unazomewa Hatari
 
Kama anajeuri hiyo amtengeneze underground mmoja kama alivyokua yeye amfikishe hata nusu ya level alofikishwa yeye...
DIAMOND alimsomesha binti chuo baada ya kuhitimu yule binti akapata kazi na kupata bwana mwengine na kuolewa nae

Hapo vipi mjukuu wangu ?
 
Amesema wap anaumia...... Ila wabongo ww wape picha stor watakupa wenyewe [emoji23][emoji23]
 
Izo mil mia 500 mbona mondi ali daiwa na papa misifa baada ya kuvunja mkataba .aka lipa kidgo kidgo kwa makubariano adi ika isha...apo ni miaka ya 2011,12 nazani .. sasa leo wabongo wanaona ajabu sana
Correction Point...Ilikuwa 18 Million Boss
 
Bado Mpeni Muda...Taratibu Ataanza Kufunguka...Sasa Hivi Mapema...Unawajua Wamakonde Au Unawasikia???...Tena Wa CHITOHOLI Ndio Wacha Kbs...Watani Zangu Hao Nawajua Vyedi
 
Mond alitokea kwa bob junior. Mbona siwasikii mkisema akazoe mavi aliyo kunya kambini?
 
Hivi Mmejifunza nini Toka Kwa Clouds Media Na Harmonize? Kuna Somo Moja Kubwa Sana Nimejifunza UNAFIKI! Hii ni MAIN THEME ambayo unaweza Itengenezea THEORY,UNAFIKI muogope Sana Mtu Mnafiki!

-Ingia ulaya yaliyotokea kwa harmo angekaa hata miaka 2 bila kuonngea chochote! Kinachotokea sasa kwenye Interview zake Zote itakuwa ni Kuhusu yeye na WCB na Sio mziki Wake Tena...!!! Akija kushtuka aanze kuongelea mziki Wake its too late! Sahizi Clouds watampeleka hadi Fiesta kwa Hela wanayo taka!

Turudi kwenye UNAFIKIII ,Unafiki ni Somo Kubwa sana Harmonize Ameprove kuwa diamond ndio alikuwa hataki amani na Clouds ila Yeye alikuwa anataka amani! Wakati clouds hawajaaahi cheza nyimbo zake hata kabla ya Diamond Kutofautiana Nao! Alie Sababisha Diamond Atofautiane na Clouds Ni Harmonize! Diamond Alikuwa anamkingia kifua harmonize pale walipo taka kumtumia kwa faida yao,Apige show hela ndogo Diamond Aligoma na ndio ugomvi ulipo anza lakini Diamond matokeo ya kufanya vile yalionekana harmo akawa ana heshimiwa na Anafanya show za heshima! Leo Diamond hata issue tena inaonekana alikuwa anamkosesha amani na Clouds! Kusema Nyimbo zake alikuwa hapendi ambapi hazipigwi clouds ni Unafiki nakumbuka kuna interview alifanya ana aliwaponda clouds na kuwapost insta! Eti leo hata Kutaja neno WCB kwenye interview hawezi

-Unafiki wa clouds kusubiri watu wagombane yeyw aponee hapo...Wamempoteza Aslay barnanaba sahizi Wanataka kumpoteza Marioo atafuata harmo

-Usijidanganyw ukaenda kugombea ubunge lisa ni kauli Ya Rais,Raisi ni Mwanasiasa Ambae anatafuta kupigiwa makofi mbele za watu! Rudi clip ya raisi mara 10 10 utajua raisi hakumaanisha

UNAFIKIIIII
 
Duh. Nimekusoma mkuu
 
Hii ndio yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…