Harmonize (Konde Boy) usiipe kisogo hadhira iliyokutoa jalalani

Harmonize (Konde Boy) usiipe kisogo hadhira iliyokutoa jalalani

Bro hilo ni bonge la JUMBE.KONDE BOI KAMA UPO HUMU LITENDEE KAZI...SIASA NI SIASA AISEEE UTATUMIKA BAADAYE UTATUPWA....ASILI YAKO NI USAFINI USIIHARIBU ASILI AISEEE
 
Izo mil mia 500 mbona mondi ali daiwa na papa misifa baada ya kuvunja mkataba .aka lipa kidgo kidgo kwa makubariano adi ika isha...apo ni miaka ya 2011,12 nazani .. sasa leo wabongo wanaona ajabu sana
 
[emoji109][emoji109][emoji116][emoji116][emoji123][emoji116][emoji116]
Bro hilo ni bonge la JUMBE.KONDE BOI KAMA UPO HUMU LITENDEE KAZI...SIASA NI SIASA AISEEE UTATUMIKA BAADAYE UTATUPWA....ASILI YAKO NI USAFINI USIIHARIBU ASILI AISEEE
 
Hiyo number 7 ni muhimu kwake asipoelewa atajikuta anaenda shimoni diamond ndio amemfanya maarufu nivizuri akamrespect na asikubali kuchonganishwa nae la sivyo atakuwa Kama alikiba wa sasa.
Harmonize ni upepo wa kisulisuli anakoelekea atawasomba wakina Lavalava na Queen Darlin. Hata tulio nje ya Tz tunazipata sifa za huyu kijana kutoka kusini mwa Tanzania.
 
Anaumia kutoa milioni 500..? Kama nakumbuka vema kuna Interview ya Diamond alisema kutoa ile nyimbo ya kwanza ya Hamonize Aiyola iligharimu milioni 100. Je vip kuhusu gharama nyingine za kumbrand..? Ili awe Hammonize? Zinaweza kuwa hazikufikia milioni 500? Kwa miaka yote mitatu?
Kama ya kuitwa Hamonize alikuwa na uwezo wa kuingiza tsh ngapi?

Lingekuwa jambo jema asizungumzie kuhusu mkataba wake na alikotoka kwenye media, sbbu kinachotokea sasa headline kwenye media zote ni tsh milion 500.
Harmonize ni upepo wa kisulisuli anakoelekea atawasomba wakina Lavalava na Queen Darlin. Hata tulio nje ya Tz tunazipata sifa za huyu kijana kutoka kusini mwa Tanzania.
 
Napata mashaka Sana kama konde boi ataweza kusustain maisha nje ya WCBOO!!

japo kujitegemea ni jambo Zuri ila gia aliyoanza kuiweka sasa kwenye zile media zingine ni mbaya itam_backfire aanze kumkumbuka mondi

Hili saga la konde na wasafi inanifanya niukumbuke wimbo wa mondi wa "je utanipenda" hasa pale anapomzungumzia huyu dogo konde
Harmonize ni upepo wa kisulisuli anakoelekea atawasomba wakina Lavalava na Queen Darlin. Hata tulio nje ya Tz tunazipata sifa za huyu kijana kutoka kusini mwa Tanzania.
 
Sikuwahi kujua kuwa mlozi huyu anaweza kuwa mshauri mzuri namna hii!!.. hichi kisulisuli sijui hata nikiiteje!!😂😎
 
Ni zamu ya konde boi kila kona... Si ki mashairi vina na midundo tena bali ziara za kuonesha ukwasi, kukubalika na ukaribu na mamlaka zenye nguvu...
Tunda limewiva sasa kila mtu analitaka... Mkulima keshasahaulika.... Nina machache kwakwe Konde boi

1. Kipaji adimu/adhimu.... Hili halina ubishi.. Kipaji kipo hasa cha utunzi wa nyimbo zinazogusa hisia... Na midundo inayohamasisha kucheza... Lakini daima mkumbuke aliyekushika mkono, aliyekulea, aliyekukuza... Aliyekutoa kusikojulikana mpaka leo upo hapo ulipo... Mheshimu sana huyu.... Ana mustakabali juu yako... Usikubali kamwe kutumika ukamkejeli kumtusi ama kumsema vibaya

2. Ni haki yako kuondoka WASAFI... kwa lugha nyingine tunasema mwana kakua... Na kama ni shule tunasema umehitimu.... Nenda kwa amani, aga kwa furaha... Shukuru kwa kila jambo... Kaanze maisha mapya kwa miguu yako mwenyewe na kwa kujiamini... Lakini kamwe usinyee kambi... Usiteme bazoka kwa njugu za kuonjeshwa...
Hao wanaokusifu na kukupamba leo ndio hao hao walikudhihaki na kukutema mate huku wakikumbia miaka mitatu tu iliyopita...

3. Punguza kuiga... Kuwa na ubunifu mpya.. Japo wanasema learn from the best lakini angalia unaiga nini.... Ili isionekane kama ni copy n paste.... Utajimaliza.... Hapa wanakusema na haya na mengine mengi
. Aliponunua V8 jipya ukajibu mapigo
. Ameanzisha FM radio nawe unataka kufanya hivyo...
. Alipoenda Tandale na kugawa misaada ukaenda kariakoo...

4. Ziepuke hila za wanasiasa... Wanakuona sasa kwakuwa kuna watu wamekupika na kuna hadhira ikakupokea.... Wanasiasa hawana marafiki wa kudumu bali wana maslahi ya kudumu.... Hadhira iliyokufikisha hapo haiko kwenye kundi la wanasiasa . ni fans wako toka imani tofauti, vyama tofauti, itikadi tofauti nknk... Usiikosee na kuipa kisogo ... Ikishajigawa kwa matendo yako... Mbele yako iko mashakani.... Wanasiasa wakutumie kwa faida huku ukibalance.. Epuka ahadi za uongo

5. Waangalie watu wanaokuzunguka sasa na kukusujudia... Wanafanya hivyo kwakuwa unacho cha kuwapa na wanafaidika na wewe... Punguza ziara zisizo na tija... Chagua ya kuongea... Angalia unaongea nini na nani na wapi... Usikubali kamwe kuchonganishwa na walezi wako....

6. Wewe ni msanii sio mwanasisa... Achana na hizi ziara... Rudi kajichimbie utoe vitu vipya vikali zaidi... Muda unaopoteza utakugharimu labda tu kama hutaki kurudi kwenye gemu kwa matumaini ya ahadi ya ubunge....

7. Kuna kitu kinaitwa asili... Asili pia ni shina ama ni chanzo... Una asili na WASAFI na Mondi... Kamwe usikubali kugombanishwa naye.. Nasema usikubali... Shina ni shina tuu... Wakati unasubiri kumalizana na WASAFI... Usirukeruke... Hawa wapambe kila kona wanakupoteza na kukupotosha pakubwa.....

Nitaendelea panapo majaliwa
Ndimi Jr fan wa kazi zako......
Daaahhm maneno mazito sana haya sidhani kama apitaga na huku JF.
 
Konde boy nimefatilia interview zako karibia zote toka ulipotoka wcb...umeonesha heshika kubwa kwa lebo yk iliyokutoa na hujawai kuiprovoke kwa namna yyt ile

Lkn kuna kila dalili kua wcb co wenzko tena na hakuna ht m1 anaekuombea mema.

kwhy move on fanya yak achana na mambo ya kumlamba binadamu mwenzio miguu ht km alikusaidia..

pambana kivyako ukifeli utaanza 1 hakun cha ajabu
 
Wcb wamempotezea sababu alianza sana kiburi na dharau pale mwishoni mpaka management ikasema awe wazi kama anataka kusepa...saiz anajikosha tu
 
Konde boy nimefatilia interview zako karibia zote toka ulipotoka wcb...umeonesha heshika kubwa kwa lebo yk iliyokutoa na hujawai kuiprovoke kwa namna yyt ile

Lkn kuna kila dalili kua wcb co wenzko tena na hakuna ht m1 anaekuombea mema.

kwhy move on fanya yak achana na mambo ya kumlamba binadamu mwenzio miguu ht km alikusaidia..

pambana kivyako ukifeli utaanza 1 hakun cha ajabu
Samahani mkuu ulishawahi anguka na ukaanza upya eeh
 
[emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Sikuwahi kujua kuwa mlozi huyu anaweza kuwa mshauri mzuri namna hii!!.. hichi kisulisuli sijui hata nikiiteje!![emoji23][emoji41]
 
Nyie ndio mtamharibu sasa... Uzuri ni kwamba anajitambua sana

Back
Top Bottom