Harmonize (Konde Boy) usiipe kisogo hadhira iliyokutoa jalalani

Ingia ulaya yaliyotokea kwa harmo angekaa hata miaka 2 bila kuonngea chochote! Kinachotokea sasa kwenye Interview zake Zote itakuwa ni Kuhusu yeye na WCB na Sio mziki Wake Tena...!!! Akija kushtuka aanze kuongelea mziki Wake its too late! Sahizi Clouds watampeleka hadi Fiesta kwa Hela wanayo taka! [emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Wa kike yupi?
 
Watanzania ukweli unafiki tuko juu sana hatuna jema kwetu, huu ushauri angempa boss wake kwanza Diamond kwani aliwapa heshima waliomtoa?? si aliwatupa huko na mtoto anaiga kwa baba.

Hii biashara haiendi bila kick na kick mojawapo ni maugomvi hata kama ni fake lakini sababu sisi wateja ndio tunapenda na wao wanatumia fursa. Hawa leo wakikutana vicheko kibao na mahaba basi namziki wao unakufa maana sisi washabiki hatupendi hayo tunajadili drama zaidi kuliko kazi ndio maana leo baadala ya kujadili kazi tunajadili tabia.

Uhasama wa kiushindani ni mzuri. Nchi hii ukijifanya malaika utachukiwa wewe jifanye shetani tu utakuwa midomoni kila siku, si tumeona Dudu baya katika ya watu hajui hata muziki mbovu kabisa lakini alivyoanza matusi tu na drama katoka na kupata na show wakati yule hata akiimba sehemu bure simsikilizi. vijana wanaona haya na wao wanaiga. Sisi wateja hatupendi malaika tunapenda mashetani.
 
Si kweli kama anajitambua hawezi kukubali kama ametoka mahali tunaamini alikua analipwa vizuri na tumekiri yupo smart kichwani management yake haiwezi kubali kupatiwa pesa wanayotaka wao watanegotiate kuangalia maslahi ya kila mmoja wao ndio apige show
 
Mtu kukusaidia haimaanishi akunyonye pale wcb kuna mikataba ya kihuni sana
 
Tatizo tulilonalo tunaona WCB ndio music God so hatakiwi mtu yeyote kutofautiana nao ndio maana kila mtu ni kumtisha kijana asiweze kufanya kazi pasipo WCB mara atapotea mara atatumika vibaya huko alipo kwamba alipotoka alitumika vizuri.

Yeye mwenyewe amesema vitu vingine hawezi kusema ni kama kuharibu biashara ya watu na vijana wengine wenye nia ya kuingia pale tumuache kijana afanye kazi na tumuombee afike salama according to objectives za management yake na hii mambo ya kuendelea kumlazimisha aendelee kuwalamba miguu watu mara bila WCB asingetoka.

Kama ameamua kurudisha gharama walizompa haina maana tena kuendelea kuwalamba miguu zaidi ya kuwapa heshima anayowapa kila siku licha ya kukiri kuwa hawako sawa naye.
 
Umemaliza mkuu,nijuavyo mimi chanzo cha ugomvi wa clouds na mondi ni harmonize na kukolezwa na mose iyobo.Mondi aliwatetea hawa vijana na Kuwasimamisha ktk msitu mnene tena wenye wanyama wakali.

Wamefanikiwa sana wakasimama vyema.
sasa kinachotokea kwa mmakonde huyu mbele ya clouds ni kumuonyesha Diamond kua yule ulomkingia kifua mpaka tukagombana tupo naye sasa.

ILA SI MBAYA, MONDI NI MTU SAFI SANA NDO MANA WANAMUOGOPA HASWAA.
 
Hapa alifanya kosa kubwa sana kuzungumzia huo mkataba..halafu kitu kingine kwenye ile interview bado Mawingu Fm walikua wanajimwambafai na kwa ujanja mkubwa walitamani Harmonize awaombe radhi wao(angalia swali alilouliza Kennedy afu harmonize akapangua kwa kuwapa makavu) pia maswali mengi yalikua ya uchonganishi na kuhitaji kujiona wao wako perfect
 
Unajidanganya
 
Capitalism... Haikwepeki... Hakuna cha bure bali kuna vigezo na masharti
Hivi kweli unamdai Mtu gharama Zote ulizomsaidia katika kutengeneza Videos toka anatoka mpaka leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mil 500 juu[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji24][emoji24][emoji24][emoji119][emoji119]
 
Ndio hulka ya washindwa ilivyo
 
wewe siku KIGOGO kazusha mr president ulikuwa unashangilia kwa kuvua nguo kabisa leo hii unamshauri harmonize?
 
Kama anajeuri hiyo amtengeneze underground mmoja kama alivyokua yeye amfikishe hata nusu ya level alofikishwa yeye...
wewe mwambie na Diamond atengeneze harmonize mwingne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…