Harmonize kuwaburuza wote waliosambaza picha zake Mahakamani

Afanye kweli Sasa Asiishie kutoa vitisho tu, Kama akikomaa Kuna pesa nyingi Sana hapo atazipata toka kwa hao maboya endapo watafikishwa mahakamani na itatoa Funzo kubwa sana
Pesa ipi hiyo atayolipwa?

Kwani watu wamefanya defamation ya brand inayoitwa Harmonize?

Picha au video zilizoonekana ni za mtu anayeitwa Rajabu na huyo ndio anayepaswa kufungua kesi kama anaona kuna sababu hizo...
 
Mkuu ebu tusaidieni sisi tusiokuwa na elimu ya sheria, tupunguze kuminyana. Ebu tupe elimu ya trademark na Business names [emoji120][emoji120]
Trade Mark ni pamoja na:-
1. Business Name
2. Slogan
3. Nembo
Nk.
Vilevile watu huwa wanasajili ideas
Hiyo inaitwa Patent.
Ndiyo maana nilimwambia entities huwa hazisajiliwi pekee NIDA na RITA.
 
Ninachokiona sasa si mapambano kisanaa!! Ni mapambano dhidi ya mafanikio na hii ndiyo tabia halisi za Watanzania!!
 
Pesa ipi hiyo atayolipwa?

Kwani watu wamefanya defamation ya brand inayoitwa Harmonize?

Picha au video zilizoonekana ni za mtu anayeitwa Rajabu na huyo ndio anayepaswa kufungua kesi kama anaona kuna sababu hizo...
Kwani Hermonize ni nini kwa mujibu wa BASATA!?
 
Trade Mark ni pamoja na:-
1. Business Name
2. Slogan
3. Nembo
Nk.
Vilevile watu huwa wanasajili ideas
Hiyo inaitwa Patent.
Ndiyo maana nilimwambia entities huwa hazisajiliwi pekee NIDA na RITA.
Asante Sana Msomi, Sasa Je Harmonize, Tembo Na Jeshi Yamesajiliwa Kama BN au Slogan na anaweza Kushitaki kwa Hayo majina? Na Je Kuna Defamatory words yyote Ambayo Ipo Hapo?? [emoji120][emoji120]
 
Asante Sana Msomi, Sasa Je Harmonize, Tembo Na Jeshi Yamesajiliwa Kama BN au Slogan na anaweza Kushitaki kwa Hayo majina? Na Je Kuna Defamatory words yyote Ambayo Ipo Hapo?? [emoji120][emoji120]
Wasanii huwa wanasajiliwa BASATA na majina yao ya Sanaa.
Na mikataba yao ipo huko BASATA. kwahiyo majina hayo yapo huko.
Hata hivyo kuna COSOTA ambayo huwa inasajili mawazo.

Trade Mark zinasajiliwa BRELA.
Wasanii kuna vyombo vingi vinawahusu.
 
Unazungumziaje Ile demand ya Adv. Msemwa Kwenda kwa WATU anaosema kwamba wanasambaza Picha za Mteja wake, Je Kuna Defamation Case Hapo?
 
Nina swali pia kwa mfano Mimi nikaandika Kwenye WhatsApp group Kwamba Venus Star Ni Mtu Wa kuwauza wasichana kwa Wanaume halafu ukaja ukanishitaki kwa jina la Venus Star Company Limited Kwamba Ndio nimemdhalilisha. Hii ikoje kisheria Mkuu [emoji120][emoji120]
 
Unazungumziaje Ile demand ya Adv. Msemwa Kwenda kwa WATU anaosema kwamba wanasambaza Picha za Mteja wake, Je Kuna Defamation Case Hapo?
Mbona unahama tena kwenye mada!?
Sasa mimi nianze kuongelea suala LA Msemwa na mteja wake kweli!?
Hata hivyo sijaziona charges zilizopelekwa Mahakamani.

Vilevile Judge hajasikiliza hoja za mshitaki.
 
Mbona unahama tena kwenye mada!?
Sasa mimi nianze kuongelea suala LA Msemwa na mteja wake kweli!?
Hata hivyo sijaziona charges zilizopelekwa Mahakamani.

Vilevile Judge hajasikiliza hoja za mshitaki.
Hakuna Charges Bali Kuna demand Ambayo Wakili ameiandika
 
Naona unaenda nje ya mada. Unapouliza kitu jaribu kufikiria context ya hicho unachokiuliza.
Venus Star kwa mujibu wa JF in unverified name na haijasajiliwa popote na mamlaka za Tanzania.
Nimekueleza kwamba mamlaka zipo nyingi hapa Tanzania zinazoshughulika na wasanii:
1. BRELA
2. COSOTA
3. TRA
4. TCRA
5. NIDA
6. RITA
7. BASATA

Sasa nenda huko ukalitafute jina la Harmonize
 
waafrica hawana tofauti na wachawi. mtu anaetaka kukuzibia risk hana tofauti na mchawi. diamond najua ni mhusika mkuu alikibia aliwai kusema laiti angeeleza kuusu figisu diamond anafanya watu wangeshangaa. diamond ashapata pesa. kuwazibia vijana aliowatoa sio ishu nzuri.
 
Labda tuanze na hili , Kwa nini Harmonize alitaka kumfunga Rayvanny Kwa issue ya Paula? Au alifikr Rayvanny hatafanya Comeback ya kibabe , kupitia huyo huyo mpenz wake Paula..... Alaf lawama abebeshwe Diamond ....
 
Alitaka kumfunga kwa sababu wakati huo Harmonize alikuwa baba mlezi wa Paula
 
Alitaka kumfunga kwa sababu wakati huo Harmonize alikuwa baba mlezi wa Paula
Unadhitishaje kama alikuwa Baba Mlezi? Ni vigezo Gani vinamfanya Mtu awe Baba Mlezi Wa Mtt ambae sio wake?
 
Kuhusu kusajiliwa Jina, Tembo, Jeshi, Harmonize. Hii hapa fomu ya BASATA ya wasanii kujisajili
 
Cyber crime fine n million tano, defamation ulietenda kosa hua unaambiwa ukakanushe na uombe msamaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…