Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Pesa ipi hiyo atayolipwa?Afanye kweli Sasa Asiishie kutoa vitisho tu, Kama akikomaa Kuna pesa nyingi Sana hapo atazipata toka kwa hao maboya endapo watafikishwa mahakamani na itatoa Funzo kubwa sana
Kwani watu wamefanya defamation ya brand inayoitwa Harmonize?
Picha au video zilizoonekana ni za mtu anayeitwa Rajabu na huyo ndio anayepaswa kufungua kesi kama anaona kuna sababu hizo...