joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Baba mlezi ambaye behind the scene anataka naye kumla anaye mlea.Alitaka kumfunga kwa sababu wakati huo Harmonize alikuwa baba mlezi wa Paula
Haupo ushahi huo. Ndio maana anawashitaki wote wanaomchafua baba mlezi.Baba mlezi ambaye behind the scene anataka naye kumla anaye mlea.
🤣🤣🤣🤣
Patent ni kwenye dawa..Trade Mark ni pamoja na:-
1. Business Name
2. Slogan
3. Nembo
Nk.
Vilevile watu huwa wanasajili ideas
Hiyo inaitwa Patent.
Ndiyo maana nilimwambia entities huwa hazisajiliwi pekee NIDA na RITA.
Uongo. Unajua maana ya Patent!?Patent ni kwenye dawa..
🤣🤣🤣🤣Haupo ushahi huo. Ndio maana anawashitaki wote wanaomchafua baba mlezi.
Patent ni kwenye uvumbuzi wa kisayansi.na kuna namna uvumbuzi huo unaisha umiliki..Cosota ni copyrights.Uongo. Unajua maana ya Patent!?
Unajua kazi ya COSOTA!?
Patent ni kwenye uvumbuzi wa kisayansi.na kuna namna uvumbuzi huo unaisha umiliki..Cosota ni copyrights.
Hiyo ni kesi nyingine tofauti na kesi aliyoifungua Harmonize.🤣🤣🤣🤣
Baba mlezi ushahidi si zile msg alizopost Vany na Rayvany kaandika ktk page yake ya insta ambayo ni certified na kamtag yeye Harmonize.
Kama kweli zile msg si zake,kwa kile tu alicho kiandika Rayvanny kinatosha kabisa kwenda kumshtaki Rayvany na si hiyo mikwara kwani lile gazeti alilo lindika Rayvanny tayari lisha mchafua Harmonize na inaonekena ni kweli alimtongoza MWANAE MLEZI ambaye yeye mwenyewe kipindi kile cha kesi ya Vany alidai MWANAE ni MWANAFUNI.
Kwa hiyo baba mlezi alimtumia picha za uchi kwa nia ya kumla mwanae mlezi ambaye ni mwanafunzi.
🤣🤣🤣🤣🤣
Hapo unatishia nyau. Hakuna ushahidi kama huo. Jipangeni na nyie kwa namna yenu.Alaf ijulikane pia Harmonize tunampeleka mahakaman Kwa kosa la kumtishia kumuua Maimartha Jesse 😂
Katika ku award damage katika kesi za defamation the court have to consider the status of a defamed person in the society.Nimekupata sana mkuu wangu young solicitor maana kuna mahali nilikua namsikiliza laywer fln akaniambia fine ya kuonesha faragha ya mtu ni 20bil... niliogopa sana..
Kukaa uchi ni sehemu ya kazi yake!?Katika ku award damage katika kesi za defamation the court have to consider the status of a defamed person in the society.
Sasa kwa uzoefu wangu hiyo amount ni kubwa sana kwa harmo, kuna kase ya Dr. Salim hakulipwa hela nyingi hivyo, hata recent case ya Membe hajaomba hela nyingi hivyo sasa sembuse harmo ambaye kukaa uchi ni sehemu ya kazi yake.
Me I'll go for 100m
Wala haitaji kuithibitishia mahakama pasi na shaka yaani "beyond reasonable doubt" kana kwamba hiyo ni kesi ya jinai. Hapo kuna kesi ya madai tu ktk kuithibitisha hakuna wajibu mkubwa kulinganisha na jinai huku ni "at preponderance of probability"Ataweza kuithibitishia Korti Pasi na shaka kwamba Hiyo mashine ya kusaga na kukoboa sio yake??Labda Kama Ni kuwakomoa tu walio na wanaosambaza Ila sidhani Kama anaweza kujisafisha kwa namna yoyote Katika Hili.
Hapo unatishia nyau. Hakuna ushahidi kama huo. Jipangeni na nyie kwa namna yenu.
Hiyo kesi ipo wapi? Hizo taarifa si za uongo,kama ungekuwa uongo leo hii Rayvany angekuwa yupo mahakamani na ndio maana katoa mkwara tu.Hiyo ni kesi nyingine tofauti na kesi aliyoifungua Harmonize.
Hata kama mtu akikutukana na kukutusi haihalalishi wewe kumpiga.
So kitendo cha Rayvan kuweka hadhalani faragha ya Harmonize ni kosa kisheria.
Yeye amepata wapi hizo Video Call!? Wakati yeye ni third party!?
Kwanini baada ya kuzipata hizo SMS na video hakuweza kumshauri Paula aende Mahakamani!?
Hapa kesi iliyopo ni Rayvan na wenzake:-
1. Kuingilia faragha ya Harmonize
2. Kusambaza kwa lengo la kumchafua ambayo ni kosa kwa mujibu wa cyber crime law.
3. Kutuma taarifa za uongo na kuunganisha mazungumzo ya Mpenzi wake(Kajala) na mtoto wake wa kambo(Paula) ili aonekane anamtongoza.
Sasa mbona maelezo yako wazi mkuu..huwezi kutunga wimbo ukaenda kuusajili cosota wakupe patent..kwanza hawahusiki na mambo hayo na ni kitu ambacho hakipo.
Sasa unajifanya huoni palipoamdikwa:Sasa mbona maelezo yako wazi mkuu..huwezi kutunga wimbo ukaenda kuusajili cosota wakupe patent..kwanza hawahusiki na mambo hayo na ni kitu ambacho hakipo.
Patent rights ni kwenye uvumbuzi..mambo ya sanaa na brand copyrights na trademarks mtawalia.
We jamaa unapuyanga mno. Business name sio lazima iwe trademark na ikitokea ikawa basi ni lazima iandikwe tofauti. Usajili wa business name na trade mark ni tofauti. Sasa ukisema harmonize ni trade mark unaweza kuleta picha yoyote inayoonesha utofauti wake na maandishi mengine.Trade Mark ni pamoja na:-
1. Business Name
2. Slogan
3. Nembo
Nk.
Vilevile watu huwa wanasajili ideas
Hiyo inaitwa Patent.
Ndiyo maana nilimwambia entities huwa hazisajiliwi pekee NIDA na RITA.
Sasa kama patent ni mawazo kwa tafsriri yako basi inabidi yakasajiliwe BRELA na sio Cosota kama ulivyosema. Hujaelewa hiyo maana uliyoleta pia, patent, trademark na copyrights zote ni intellectual properties lakini haina maana patent ni trademark na copyrights.Sasa unajifanya huoni palipoamdikwa:
A patent is often referred to as a form of intellectual property right,[8][9] an expression which is also used to refer to trademarks and copyrights
"Intellectual"Sasa unajifanya huoni palipoamdikwa:
A patent is often referred to as a form of intellectual property right,[8][9] an expression which is also used to refer to trademarks and copyrights