Tetesi: Harmonize kwa sasa ana hali mbaya kifedha, mpaka nyumba ya Mbezi Beach amehama

Mbna mnahaha Sana ,wazee msaidieni jomba nchumali
Jamaa ana Haha Hatari. Asubiri Juma3 kama Mwano Haujalia.

Jana nmemuona best bite na masweta yake.[emoji38][emoji38].... Au alikuwa anategemea demu wa kizungu wameachana
 
Mwamba amelala juu ya paa msaidieni bhana kiroho Safi , keyboard warrior utaishia kutukana tuu sababu unayempambania ni useless kwenye battle ground
Wewe ndiye keyboard soldier unafuatilia mwanajeshi anapambana wewe unaleta umbea JF.
Utavalishwa shanga mzee kufuatilia issue za wanaume.
 
Kudaiwa kodi kawaida sana ila lile gari alilo mhonga kuku & kifaranga chake angelipa kodi si ingetosha na chenji kubakia

Ila story za vijiwe vya kahawa dah
 
Amefanya Uharibifu mKubwa Sana Kwenye Hyo Nyumba. Hata Baada ya Kupewa notisi na Mwenye Nyumba ya Kwenda Kukagua Nyumba akawa anapiga chenga Tu Kila Kukicha
Hiyo nyumba inakuhusu nini au unataka aikarabati ukaishi wewe na mmeo injinia?fanya yako dogo
 
Amefanya Uharibifu mKubwa Sana Kwenye Hyo Nyumba. Hata Baada ya Kupewa notisi na Mwenye Nyumba ya Kwenda Kukagua Nyumba akawa anapiga chenga Tu Kila Kukicha
Hiyo nyumba inakuhusu nini au unataka aikarabati ukaishi wewe na mmeo injinia?fanya yako dogo
 
Kwa hiyo tufanyeje?
 
Hizi nyumba za kurithi ni nini ??

Unadai kodi nenda kwa mjumbe, polisi au mahakamani ??

Huu ni upungasese.
Watu wapo serious na biashara zao hao mjini
 
Hivi hawa wasanii ni kwa nini wanaishi nyumba za kupanga? Wanavyotuaminisha kuwa wanamafanikio ni kitu gani kinawazuia kujenga nyumba ya kuishi? Wanavyopiga picha na maburungutu ya pesa na kuvaa vito vya thamani kama cheni, saa n.k inakuwa ni maigizo tu siyo?
Hizo show wanazopiga ambazo wanaonyesha kujaza watu, malipo wanayopata wanafanyia nini...?
Nyimbo wanazotoa ambazo huwa wanaonyesha kupata viewers wengi na kununulika kwenye platform mbalimbali malipo huwa hawayapati kwani...!?

Hivi msanii kama huyo Harmonizer ana hata kibanda cha kujisitiri kweli? Yaani itakuwa ni aibu kubwa sana kama atakuwa hana kibanda hata cha size ya kufugia kuku angali yeye ni balozi sijui wa crdb na tuliaminishwa deal hilo ni la takribani mil500!
Kodi ya hiyo nyumba aliyopanga nadhani ni zile apartment ambazo kwa mwezi si chini ya 1.5M, kwa mwezi kwa malipo hayo anashindwaje kujenga hata kule majohe ambako viwanja bei ni sawa na bure...!?!!

Zile cheni pale shingoni, anasema ni million ngapi vile..!?!
 
Mpunga wote alikomba Kajala , na alimkopa pesa ndefu Sana mshikaji , sasa mwamba amebaki empty headed huku nyeti zake zikiwa wazi ...ogopa Sana kitu mwanamke , kuna mengi mwanamke aliongea na Shetani pale Edeni...!!!
 
asante kwa umbea wa kiwango cha uchumi wa kati.
 
Wew nd akina vanny boy na babalevo tuh wew umeona au post picha moja kama ushahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…