haijalishi mwanaume jina linaanzaje tunda. mimi binafsi ya wimbo hayanihusu wala sioni ni big issue.Kwani Tundaman ndo sawa na kujiita Tunda? Kweli wewe ni Wakipekee
Mtu akijiita Ladies man kajiita mwanamke?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haijalishi mwanaume jina linaanzaje tunda. mimi binafsi ya wimbo hayanihusu wala sioni ni big issue.Kwani Tundaman ndo sawa na kujiita Tunda? Kweli wewe ni Wakipekee
Mtu akijiita Ladies man kajiita mwanamke?
Man ni neno la kiswahili? Hujui unachoongea wewe.Tunda ni tunda tu.. inafikirisha mwanaume kujiita tunda.. au wewe upo tayari kuitwa tunda?
NdiyoSo mwanaume mla uchi ajiite " Qumarman" sio?
Lakini si kuna maombolezo? Alipaswa apongezweJana Yanga kafungwa na Azam umekurupuka umeimba kava ya wimbo wa Harmonize " Yanga inafungwaje" Umeufanya uonekane kama wimbo wa maombolezo vile kwa sababu ya sauti yako ya kimaombolezo maombolezo.
Inawezekana pia MbeAnaweza akawa yeye ndo mla matunda. Tafsiri hii inaonyesha hasira.
Sawa TundaMan ni neno la kiswahili? Hujui unachoongea wewe.
Tundaman ni mwanamume anayependa matunda.
Ladies man ni mwanamume mpenda papuchi.
Umeelewa?