Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Mapenzi konyo jamaa kapewa utumboStar wa Bongo Flava, Harmonize amemchana aliyewahi kuwa mpenzi wake, Kajala Masanja na kumwambia aache kumzungumzia vibaya wakati bado anahangaika kutaka warudiane.View attachment 2713440View attachment 2713439
Huyu mtoto ushamba na ulimbukeni vinamsumbua hiyo ndiyo ile wanasema "Masikini akipata matako hulia mbwata"
Mambo gani ya kumsimanga Mwenzio ilihali ulimsaidia kwa mapenzi yenu lakini leo mmeachana unasema kila kitu ulichomfanyia!
Hahahahaba,kajala anawatepeli watoto ,mbn hatepeli wakulungwa wenzie
Hahahaha,eti wakulungwa maokoto hayaeleweki😂😂😂Na atawatapeli sana mpk akili ziwakae sawa, wakulungwa maokoto hayaeleweki [emoji23][emoji23][emoji23]
Team vikongwe tujuane😄Huu mwandiko wa harmonize ndio ulifanya nimdharau hadi leo japo anazo ngoma kali.
Warudiane tu mpambano unoge zaidiMmoja anataka kiki muziki uende mwingine aongeze viewership kwenye reality TV show yao. Mbaya zaidi, Harmo hajawahi pata power couple kama aliyopata na Kajala maana hata ya Wolper haikuwa na hype kwa sababu, yeye alionekana kama anabebwa, vilevile kajala toka enzi za P funk, hajawahi kupata hype kama aliyoipata na harmo. Wote wanatumiana tu, no hard feelings zaidi ya biashara
Pamoja na yote lakini anatakiwa ajue kwamba yeye ni mtoto wa kiume hatakiwi ashindane na mtoto wa kike kujibizana.Inamaana hamjaona kajala kamsema sana ni muda tu hamo kakaa kimya
Kuna kitu hamjaelewa
Kajala aliachana na hamo lakini alikuwa hajui sababu ya kuachana ni nini,leo hamo kaongea nadhani kajala hatokuja kumuongelea tena ameshajua alikosea wapi
Inshort kajala aliiba kadi ya gari na hamo hakumuuliza aliamua kumuacha kimya kimya
Mwanamke ukimuacha kwa style hio lazima aumie sana
Kajala alijua hamo hawezi muacha labda alikuwa anatumia madawa etc ila kitendo cha hamo kumuacha bila kumpa sababu ndio kimemfanya aweweseke
Hahahaha,eti wakulungwa maokoto hayaeleweki[emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahahahaHayaeleweki wote choka mbaya, ko akam date kiroboto au Babu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe huwa hucheki kama mimi...
Ila wamedumu wenyewe...
Leo ndio najua kumbe konde alimkula paula toka 2017 huko ina maana kipindi kile video zake zinavuja alikuwa anapasha kiporo[emoji51]
Majani anasikitika sana kuhusu hiyo familia yake, sipati picha anavyofeel huko alipo.Mzee baba p funk katulia tu anaongea moyoni " mi nikiongea tulieni mnaniona mjinga haya mnadhalilika sasa"
Wameamua wenyewe kwenda kwa walezi wao acha wafokewe tu, mwisho wachapwe fimbo kabisa. We mtoto mdogo unaenda kulivamia "shentele" kama wema!Niliona clip whozu kavaa mshati km braza K afu anafokewa na Wema khaaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Star wa Bongo Flava, Harmonize amemchana aliyewahi kuwa mpenzi wake, Kajala Masanja na kumwambia aache kumzungumzia vibaya wakati bado anahangaika kutaka warudiane.View attachment 2713440View attachment 2713439