Wameamua wenyewe kwenda kwa walezi wao acha wafokewe tu, mwisho wachapwe fimbo kabisa. We mtoto mdogo unaenda kulivamia "shentele" kama wema!
Hakika Ngoma za Konde ni Kari na anajuwa kuhimba kwerikweri 🤣🤣 ila huyu mmakonde kwenye R anaweka L kwenye L anaweka R aisee😁Huu mwandiko wa harmonize ndio ulifanya nimdharau hadi leo japo anazo ngoma kali.
Ndo atulize "kipele" kilichomuwasha kumfata mama mlezi. Mama mlezi round hii acheki na mbuzi!Unajua kwa mbali tunaona wanafanya drama ila ukiwa karibu ni maisha halisi wanaishi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Whozu anatamani kutoka ila anashindwa, kuna muda unamuona kabisa kachokaa
Assume unaambiwa wewe huna lolote mara govi tu vitu vya uongo nikaona ananipanda kichwani nikatake one action tu ya kuonesha uanaume hadi Leo ananiogopa ningetulia angesumbuaHiyo dharau anaitoa Ili kufanya ureact....ila usipompay attention.....hakuna shida mkuu
Ndo atulize "kipele" kilichomuwasha kumfata mama mlezi. Mama mlezi round hii acheki na mbuzi!
Kwann aitwe chiziHuyu mtoto ushamba na ulimbukeni vinamsumbua hiyo ndiyo ile wanasema "Masikini akipata matako hulia mbwata"
Mambo gani ya kumsimanga Mwenzio ilihali ulimsaidia kwa mapenzi yenu lakini leo mmeachana unasema kila kitu ulichomfanyia!
Hapana anajibu da pau[emoji16][emoji16]View attachment 2713674
Makasiriko tu ya mwanamke baada ya kuachwa,ni kawaida tu.Kwann aitwe chizi
Alooh🤣 kwann asirudi shule tu japo QT itamsaidia masikini..sad!Huu mwandiko wa harmonize ndio ulifanya nimdharau hadi leo japo anazo ngoma kali.
Kila mtu Kuna eneo ambalo Yuko gifted pia elewa kuwa hatutaweza fananaHuu mwandiko wa harmonize ndio ulifanya nimdharau hadi leo japo anazo ngoma kali.
Sijui kinachowafanya kutoweka alama za koma na nukta kwenye meseji zao ni zipi.Ila kwa Harmonize amezidi kiasi cha kuonekana kama anaigiza
Kuna Mda wanawake ni wehu tena wakiwa wanashauriana ujingaMakasiriko tu ya mwanamke baada ya kuachwa,ni kawaida tu.
Kwa maelezo ya juu juu.Hakika watu mna vipaji. Maana kusoma tu messages zake Ni changamoto. Naomba niulize,anamanisha kalala na Paula kweli?
Bora iendelee kuwa juu juu tu ,maana itakuwa aibu Sana kwa Kajala Kama mama.Kwa maelezo ya juu juu.
labda huwa zinadondoka kabla hawajatupostia 😀 😀Sijui kinachowafanya kutoweka alama za koma na nukta kwenye meseji zao ni zipi.