Harmonize ni mbumbumbu wa sheria, mchanga wa mahusiano na mshamba bado wa umaarufu

@Mshana Jr seems kwamba wale wote wanao mzunguka harmonize sio wasomi kwa maana nyingine hawajui wanafanya nini wako wako tu?

Your too smart bro nadhani unaweza kuandika na kuja na logic critics zaidi ya hicho ulicho andika
 
Niko celebrity huku nadhani hii ndio level ya uandishi wake! All in all hata kama anao watu smart bado kuna kushauriwa vibaya, utayari wa kushauri(wa), na ubishi wa kipokea ushauri,, Ama la kuna mambo anayaona ni yake binafsi yasiyohitajj mwongozo wa management
 
Mshana anashuka kwa kasi sana naona ueredi unaondoka
 
Mshana anashuka kwa kasi sana naona ueredi unaondoka
Kwanini unasema hivyo? Hivi sipaswi kuwa huru na maoni yangu hata kama ni sumu kwa wengine?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
nimeskia producer wake alikuwa anaitwa manu lima
jamaa ndio kawatoa wengi sana amehusika album zote za ngoma kasoro moja tu du
Manu Lima ndo katengeneza albums 3 kati ya 4 Bane (1990) Adia (1995) na Saga (2006) ni Seva (2001) ambayo Manu hakuusika
Pia kuna baadhi ya watu wengine kina Dally Kimoko utamskia kwenye Mayumba lile 🎸 lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…