Mpatuka
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,261
- 3,580
Basi ngoja nijipe homework ya kujitolea nikuandalie playlist nzuri, nikikamilisha nitakutafuta ili nikutumie.Nyingi zina uelekeo huo
Nachotafuta Ni burudani ya moyo sio ukakasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ngoja nijipe homework ya kujitolea nikuandalie playlist nzuri, nikikamilisha nitakutafuta ili nikutumie.Nyingi zina uelekeo huo
Nachotafuta Ni burudani ya moyo sio ukakasi
Toka Jana hii, kapost na picha yupo na mkuu wa majeshi. Walikutana kwenye msiba.Keshakimbilia mahakamani
Dar: Rayvanny afikishwa Kituo cha Polisi
Rayvanny ameitwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central Police) akishtakiwa na Harmonize kuwa amemdhalilisha mitandaoni. Nitawapa updates soon Rayvanny na baba Levo wakitoka kituo cha polisi cha central kufuatia kushitakiwa na Harmonize.www.jamiiforums.com
😂😂😂😂😂😂daah sawa tuPaka mate iteleze Kama nyoka pangoni😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂, good morning chwitiii
Huyu makonde anaonyesha umakonde wake. Yani umemdefine vizuri sana Kama mtu atabishia maneno yako,basi ni mapenzi yake binafsi yamempofusha hawezi kuona lolote tena dhidi yake zaidi ya anaonewa[emoji3][emoji3][emoji3]kumbe dogo sana
Sawasawa nitaipokea na kuichambua maana napenda kusikiliza muziki mzuriBasi ngoja nijipe homework ya kujitolea nikuandalie playlist nzuri, nikikamilisha nitakutafuta ili nikutumie.
sawa just one week.Sawasawa nitaipokea na kuichambua maana napenda kusikiliza muziki mzuri
Mtani pengine hujanisoma vema.. Sina tatizo na Harmo, wote sisi ni wakuja hapa mjini ila kilichopo ni kuchelewa kujifunza ..Mbona sheria iko wazi juu ya haya waliyofanya akina rayvanny na baba levo mtani? Ni kama unamkanyaga harmonize in a smart way.. he might be very arrogant lakini haiondolei ukweli kwamba amekosewa. Why spreading his videos? Ushamba wake uko wapi? Aisee
Ooh, hapo sawa...Mtani pengine hujanisoma vema.. Sina tatizo na Harmo, wote sisi ni wakuja hapa mjini ila kilichopo ni kuchelewa kujifunza ..
Kesi yake huwa faini ni milion 5 sijajua kifungo ni miaka mingapi
Ushamba ninaouzungumzia ni kule kusema atawadai mabilioni ya fidia kisha atawafunga.. Kwenye sheria ni nadra mtu mmoja kupata adhabu hizo mbili... Lakini kati ya wote ni nani kati yao animiliki walau usd 50000 bank?
Ushamba wa pili ni kule kuToka na Kajala na kurusha mapicha mitandaoni.. KAJALA! ..Mbona wengine wanamega kimyakimya na kusepa? Hapa aliingizwa kingi na akaingia mzima mzima
Ushamba wa tatu ni kurusha picha akiwa na mkuu wa majeshi na pembeni yake akaweka taarifa ya mtuhumiwa wake mmoja kulamatwa! Seriously huu ni USHAMBA..
Kwa wenye uzoefu wa haya mambo huwa wanakwepa sana sehemu panaitwa polisi huko unawapelekea watu ulaji wa bure kabisa..kumshtaki mtu sio kumfunga
Harmo ana kipaji, ana bidii ya kazi ana mafanikio kwa kiasi chake..ana maadui pia... Akiacha ushamba na akawa na akili kubwa ataachana na hivi vitu vya kijingajinga na kupiga kazi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mzee baba umesahau kama "Mmakonde chi ntu"
Watasoma vipi mpaka mwisho ilhali wamepofushwa na mahaba,yaani kwao inatakiwa uwe upande watakaokubaliana nao.Natambua uwezo mdogo wa wengi wetu wa kuchambua mambo hivyo inanibidi kila wakati nitoe ufafanuzi.. Na wengi kati yetu huwa hatusomi mpaka mwisho bali hukurupuka ku comment..ungekuwa umesoma hij para wala usingekurupuka kujibu ulichoandika[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Harmonize ni nmojawapo aliyekosa elimu kwa sababu zozote zile na kuja kuibukia kwenye sanaa ya mziki.. Na amefanya vema kwakweli mpaka hapo alipofikia.. Kutompongeza kwa hili ni wivu.
Katika njia yake ya kutafuta mafanikio zaidi amejikuta anakabiliwa na changamoto kadhaa ... Ambapo anahitaji timu makini, somi na yenye weledi kuweza kumvusha.
That's why naenda nao kwa tahadhari kubwa ili waweze kuelewa muktadha wa mada bila kuharibu mtiririko wake na post yote kwa ujumlaWatasoma vipi mpaka mwisho ilhali wamepofushwa na mahaba,yaani kwao inatakiwa uwe upande watakaokubaliana nao.
Hivyo mtu akianza kuusoma uzi akaona ufafanuzi unaoutoa si wa kumsifia wampendaye basi unahukumiwa hapo hapo kuwa uko ng'ambo ya pili wasiyoitaka wao.
Nenda kwenye Intelligent Forum ili wasome context. Huku tunataka simple things.That's why naenda nao kwa tahadhari kubwa ili waweze kuelewa muktadha wa mada bila kuharibu mtiririko wake na post yote kwa ujumla
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu unaitwa ubaguziNenda kwenye Intelligent Forum ili wasome context. Huku tunataka simple things.