Harmonize ni mbumbumbu wa sheria, mchanga wa mahusiano na mshamba bado wa umaarufu

Mzee hayo mambo ya vijana wachie wao watakuvunja bega bure
We jikikite kwenye ulozi
 
Ndugu Mshana Jr, kwa heshima uliyo nayo hapa JF, kweli ulikua na haja yoyote kuleta hayo mambo ya hovyo hapa?
Lugha kama hizo na jumbe(sijui uwingi wa ujumbe) kama hizo ni mara ya kwanza kuziona?
Sidhan kama ulikua na haja ya kuleta hizo propaganda hapa, ulitakiwa uwe neutral,lakini andiko lako lina biasness, kuonesha kuna upande unaushabikia!
Kimsingi kama ushamba hakuna asiye mshamba na kama kutojua sheria, hakuna aliye mkamilifu, inategemea sheria umeichukuliaje kuifasiri na ukaeleweka kwa wasimamia sheria, nje ya hapo kila mtu ni layman kwenye sheria.
Wewe mwenyewe ushaonesha upo upande gani halafu unamtaka jamaa awe neutral
 
Kitu kimoja kuhusu pesa nyingi: Hufunua undani wa mtu katika uhalisia wake....!!! Hata wewe ukizipata leo tutakujua tuu.. Waswahel wanasema pata pesa tujue tabia yako....

Shule ni muhimu sana sana kile kitendo cha kukaa darasani miaka kibao hutufunza mengi hata tusipofaulu mitihani..japo baadhi hawaelimiki hata wafike mpaka chuo kikuu.

Kuna wachache waliobahatika kuwa na akili na maarifa ya kuzaliwa nayo... Hawa ndio ambao huelimika bila hata ya kusoma sana
Ni wepesi kushika vitu vipya
Ni wepesi kuwa wabunifu
Ni wepesi kubadilika kuendana na mazingira yaliyopo nknk

Harmonize kiasili shule hamna na hii si dhambi hata kidogo bali ni mfano wa mamilioni ya watoto wetu waliokosa shule kwa sababu mbalimbali... Mazingira ya umasikini, ndugu wazazi na hata jamii vimezima ndoto za vijana wetu wengi kielimu.

Kuna wale wachache ambao automatically walijiona kabisa kuwa shule sio sehemu yao, hao walijiona kabisa vipaji na vipawa vyao viko kwenye sanaa mbalimbali, biashara nk

Harmonize ni nmojawapo aliyekosa elimu kwa sababu zozote zile na kuja kuibukia kwenye sanaa ya mziki.. Na amefanya vema kwakweli mpaka hapo alipofikia.. Kutompongeza kwa hili ni wivu.

Katika njia yake ya kutafuta mafanikio zaidi amejikuta anakabiliwa na changamoto kadhaa ... Ambapo anahitaji timu makini, somi na yenye weledi kuweza kumvusha.

Mahusiano
Kwa umri wake na pesa kiasi aliyonayo, haya anayofanya sasa wala si ajabu sana..hata wewe ungefanya na pengine zaidi... Lakini Harmonize kwenye future ya carrier yake ya mziki anahitajika kuwa na washauri weledi zaidi.

Inajulikana wazi hawa mabinti vibibi wa bongo movie walivyo makaburi ya pesa na matajiri wa skendo... Hawa wapo tangu enzi za mapapaa kina Msofe, wazee wa bandari, wauza unga, watoto wa mjini nknk.. Leo hii ndio aje kudate nao na kurusha picha za mahaba mazito mitandaoni!? Haya ni majambazi ya cash..na yakishakuchuna na kukuchoka yanakutengenezea skendo kisha yanakupiga chini.

Sheria
Kwa maisha anayoishi Harmo ya mziki, ya mitandaoni ya competition kwenye game, ya kupokonyana madanga ya mjini ya kuoneshana umwamba nk.. Kuna vitu haviepukiki hata atafanyeje navyo ni kuundiwa kashfa hata za uongo..kama naye alivyofanya kwa wengine.. Aishi kibon touni, akipatwa hapa naye anatafuta pa kumpata mtu wahuni ndivyo wanavyomalizana.

Ishu ya kutishia kuwapeleka watu aliowataja kwa majina kuwa atawapeleka mahakamani awafunge na wamlipe mabilioni ya pesa ni upuuzi mtupu na hao wanasheria wake wanamlia pesa tu
Kesi za fidia kama hizo huwa na mambo mengi mno mpaka watu hukata tamaa.

Mbaya zaidi keshaanza vibaya kwa kuwataja watuhumiwa wake kwa majina na kuwahukumu tayari huku akitambua wazi kuwa mahakama pekee ndio yenye uwezo wa kuhukumu.. Mambo ya sheria ni nyoko sana keshaitia doa kesi yake.

Kwa kinachoonekana wito ama tisho la wakili wake hakuna mahali anamtaja Harmonize kwa majina yake rasmi..hapa tayari napo kuna shida.

Natambua katishia kuwa wahusika itakuwa mwisho kuonekana kwenye page zao mitandaoni...Mmh Instagram na FB kwa mfano ina mitifuano mingapi kila siku duniani, tena mibaya kabisa mpaka ikimbilie kufunga account za wambea njuka?

Ushamba wa umaarufu
Bado Harmonize ana kitete kile cha ufukara, bado hajiamini lakini mbaya zaidi ana management ambayo haiko vizuri sana au haisilizi au haimshauri vema au haina weledi na exposure ya kutosha. Kusema kwamba jina lake kalijenga kwa mabilioni ni fix za kishamba sana.

Kuona kwamba kafanyiwa figisu na wabaya wake nalo ni ushamba pia.. Kwa hapo alipo anategemea kweli akose maadui kila kona?

Ajaribu kuwapuuza aone! Ishu za kupelekana mahakamani kudaiana fidia zitamuongezea stress za kufa mtu...kuna kesi maelfu za fidia zina umri sawa na wake.. Hazijalipwa!

Na je kesi zake hizo ni jinai au ni madai?
Michael Jackson alisoma wapi..kipaji hakihitaji shule wasomi wakina Ndege wangekula wapi...
 
Aaah wapi, umeona mi naandika hayo mambo? Mimi nyimbo zangu ni Congolese na Muziki wa Dansi: Vijana Jazz, Sikinde, Washirika, Ottu/ Msondo ngoma, Bantu Group, Twanga Pepeta, TOT Band, Muungano Band.
Congo: JB Mpiana, Koffi Olomide, Hayati(Pepe Kalle, Papa Wemba, Aurlus Mabele, Jean Baron), Ferre Gola, Fally Ipupa, Werason, Aimelia Lyese Demingongo na Kaka yake Lucian Demingongo, Kusila Yondo Sister, Kundi la Extra Musica, Kanda Bongoman, Ballu Canta, Shimita, Lokassa Ya Mbongo, Gatho, Chai Ngengs, Jules Kibens/Kibenga( Le Professour), Fi Carre Mwamba, Alain Mpela, Rio, Gentacymine, Nkonzi wa Nkonzi, Suke Chille, Mbilia Bell, Tshalla Mwana, Cindy, Tutu Kaludji kutaja wachache.
Kwa hiyo, hao vijana wetu hua sina side na yeyote. Bongo fleva ila ya mwanzo ya Jay Moe, Mr Two(Two Proud), Fanan, HBC, Wateule, Gangwe Mobb, East Coast Team, TMK Wanaume Family, Sollo Thang, Afande Selle, Mtoto wa Dandu hizo kweli nilizipenda na style yake ilikua inavutia, na hasa hiyo ndiyo ilikua Bongo Flavour!
 
Threads zinaporomoshwa kila baada ya dakika 2 halafu contentless.

Linafosi kuzungumzia vitu ambavyo hata halivijui vizuri.

Haya Harmonize hajasoma, vipi Jembe ni Jembe ??

Hayo mambo ya kesi huwa ni beat tu, ili watu waache kusambaza taarifa, hakuna mwenye akili timamu asiyejua kuwa hakuna kesi hapo. Kushtaki siyo lazima utangazie umma ndio uende mahakamani.
Tunaonge kile tunachokiona na kukisikia sio unachofikilia
Contentles comment🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Kitu kimoja kuhusu pesa nyingi: Hufunua undani wa mtu katika uhalisia wake....!!! Hata wewe ukizipata leo tutakujua tuu.. Waswahel wanasema pata pesa tujue tabia yako....

Shule ni muhimu sana sana kile kitendo cha kukaa darasani miaka kibao hutufunza mengi hata tusipofaulu mitihani..japo baadhi hawaelimiki hata wafike mpaka chuo kikuu.

Kuna wachache waliobahatika kuwa na akili na maarifa ya kuzaliwa nayo... Hawa ndio ambao huelimika bila hata ya kusoma sana
Ni wepesi kushika vitu vipya
Ni wepesi kuwa wabunifu
Ni wepesi kubadilika kuendana na mazingira yaliyopo nknk

Harmonize kiasili shule hamna na hii si dhambi hata kidogo bali ni mfano wa mamilioni ya watoto wetu waliokosa shule kwa sababu mbalimbali... Mazingira ya umasikini, ndugu wazazi na hata jamii vimezima ndoto za vijana wetu wengi kielimu.

Kuna wale wachache ambao automatically walijiona kabisa kuwa shule sio sehemu yao, hao walijiona kabisa vipaji na vipawa vyao viko kwenye sanaa mbalimbali, biashara nk

Harmonize ni nmojawapo aliyekosa elimu kwa sababu zozote zile na kuja kuibukia kwenye sanaa ya mziki.. Na amefanya vema kwakweli mpaka hapo alipofikia.. Kutompongeza kwa hili ni wivu.

Katika njia yake ya kutafuta mafanikio zaidi amejikuta anakabiliwa na changamoto kadhaa ... Ambapo anahitaji timu makini, somi na yenye weledi kuweza kumvusha.

Mahusiano
Kwa umri wake na pesa kiasi aliyonayo, haya anayofanya sasa wala si ajabu sana..hata wewe ungefanya na pengine zaidi... Lakini Harmonize kwenye future ya carrier yake ya mziki anahitajika kuwa na washauri weledi zaidi.

Inajulikana wazi hawa mabinti vibibi wa bongo movie walivyo makaburi ya pesa na matajiri wa skendo... Hawa wapo tangu enzi za mapapaa kina Msofe, wazee wa bandari, wauza unga, watoto wa mjini nknk.. Leo hii ndio aje kudate nao na kurusha picha za mahaba mazito mitandaoni!? Haya ni majambazi ya cash..na yakishakuchuna na kukuchoka yanakutengenezea skendo kisha yanakupiga chini.

Sheria
Kwa maisha anayoishi Harmo ya mziki, ya mitandaoni ya competition kwenye game, ya kupokonyana madanga ya mjini ya kuoneshana umwamba nk.. Kuna vitu haviepukiki hata atafanyeje navyo ni kuundiwa kashfa hata za uongo..kama naye alivyofanya kwa wengine.. Aishi kibon touni, akipatwa hapa naye anatafuta pa kumpata mtu wahuni ndivyo wanavyomalizana.

Ishu ya kutishia kuwapeleka watu aliowataja kwa majina kuwa atawapeleka mahakamani awafunge na wamlipe mabilioni ya pesa ni upuuzi mtupu na hao wanasheria wake wanamlia pesa tu
Kesi za fidia kama hizo huwa na mambo mengi mno mpaka watu hukata tamaa.

Mbaya zaidi keshaanza vibaya kwa kuwataja watuhumiwa wake kwa majina na kuwahukumu tayari huku akitambua wazi kuwa mahakama pekee ndio yenye uwezo wa kuhukumu.. Mambo ya sheria ni nyoko sana keshaitia doa kesi yake.

Kwa kinachoonekana wito ama tisho la wakili wake hakuna mahali anamtaja Harmonize kwa majina yake rasmi..hapa tayari napo kuna shida.

Natambua katishia kuwa wahusika itakuwa mwisho kuonekana kwenye page zao mitandaoni...Mmh Instagram na FB kwa mfano ina mitifuano mingapi kila siku duniani, tena mibaya kabisa mpaka ikimbilie kufunga account za wambea njuka?

Ushamba wa umaarufu
Bado Harmonize ana kitete kile cha ufukara, bado hajiamini lakini mbaya zaidi ana management ambayo haiko vizuri sana au haisilizi au haimshauri vema au haina weledi na exposure ya kutosha. Kusema kwamba jina lake kalijenga kwa mabilioni ni fix za kishamba sana.

Kuona kwamba kafanyiwa figisu na wabaya wake nalo ni ushamba pia.. Kwa hapo alipo anategemea kweli akose maadui kila kona?

Ajaribu kuwapuuza aone! Ishu za kupelekana mahakamani kudaiana fidia zitamuongezea stress za kufa mtu...kuna kesi maelfu za fidia zina umri sawa na wake.. Hazijalipwa!

Na je kesi zake hizo ni jinai au ni madai?
Kuna wazee mtaani kwetu walitukanana kesi zikaanza imedumu miaka 14 ,kila mtu anaonyesha umwamba wa hela ,iliwafilisi Hadi wakaanza kuuza mashamba hamna anayekubali ni mwendo wa kukata rufaa ,mwisho wa siku wakakaa chini wenyewe wamalize kimila na ikaisha wakiwa wameshafilisika
 
Michael Jackson alisoma wapi..kipaji hakihitaji shule wasomi wakina Ndege wangekula wapi...
Haiongelewi elimu ya mtu, ila upumbavu wa mtu ambao haiitaji elimu kuubwa kujua kuwa hili si swala jema, ajifunze kwa brother wake Diamond na skendo zake zoote haziwai fika kumzalilisha kwa kiasi hiki
 
Unaongelea Mshana Jr kuwa ni kaka yako. Duh!! Huyu mbona dishi limeyumba!? Jaribu kufikiri mpaka sasa anaishi kwa Dada yake unategemea utapata mawazo ya maana.

Dada yake akitimuliwa na yeye wote wanatimuliwa.
Unamuongelea Mshana Jr yupi? Ni uyu uyu tabibu wa msata anae milik BMW na mnywaji mzuri wa konyagi? Au Mshana Jr mwingine?
 
kupitia sakata hili nimegundua haya
hata wale tuliokuwa tunawaheshimu humu na kuwaona kama kaka zetu katika kutupa miongoza ya maisha nao pia tulitegemea watoe miongozo yenye kuonesha wapi penye nyufa ,
lakini matpkeo yake ndio wameongoza kuongea pumba na mashudu
na wako biased sana mpaka imekuwa kero
halafu hizi nyuzi za kumuongelea mmakonde kila dakika, kwani hakuna mambo mengine ya kuongea humu celebrity?

imekuwa too much
mfano kama hii
Pitia uzi huu

.
Hakuna kaka yako umu JF usijipe undugu na watu usiowajua na wasiokujua. Fanya yako kisha sepa hakuna anaejali uwepo wa yoyote umu. Mmakonde ni mwanga sana acha anyooshwe watanzania wamemchukia kwa matendo yake.
Msihusishe watanzania na maswala yenu ya kuchambana mitandaoni.
 
Mzee hayo mambo ya vijana wachie wao watakuvunja bega bure
We jikikite kwenye ulozi
Watavunjika wao mimi yangu yamekomaa na sili viazi mkaango kama wao
Hii ni mada ya kujifunza na Harmonize nimemtumia kama mfano kwa yale yaliyomtokea na reaction yake
 
Back
Top Bottom