X-12
JF-Expert Member
- Sep 23, 2020
- 444
- 655
Wewe mwenyewe una lack of knowledge, kujifanya unajua kila kituKuna vingine wala havihitaji akili kubwa kujua ni utopolo na lack of knowledgeView attachment 1752481
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwenyewe una lack of knowledge, kujifanya unajua kila kituKuna vingine wala havihitaji akili kubwa kujua ni utopolo na lack of knowledgeView attachment 1752481
Umekosea sana kwa kuwa na huo mtazamo mimi sijui kila kitu labda unaweza kuweka ithibati yako hapa wapi nilisema najua kila kituWewe mwenyewe una lack of knowledge, kujifanya unajua kila kitu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Naona umetumwa na Diamond. Sasa Harmonize kwani yeye ni mwanasheria!?
Mtaenda kuyaeleza hayo mahakamani. [emoji3] [emoji3] Mshana endelea na fictional stories kuhusu uchawi na mazimwi.
Mambo ya sheria waachie wanasheria.
[emoji848][emoji16][emoji16][emoji16]Mashabiki wa Mshana watakushukia kama mwewe..
Aisee [emoji16] Jf BwanaWewe mwenyewe una lack of knowledge, kujifanya unajua kila kitu
Kwahiyo unahisi Harmonize kamshinda nani kipato labda?
Ottu jazz, tabora jazz, Les Wanyika, Baraka Mwinshehe kisha unamalizia na twist za Daud Kabaka....Remmy ongara muziki asili yake wapi, unapata ladha za super matimila, unakonyeza kidogo usipate taabu neema ya rafiki yake, unaenjoy utunzi wa akina bichuka, Shabani dede, unatembea kidogo kusikiliza vocal za Tx moshi wiliam, ukipita kwa kina Kilwa jazz, vijana jazz, baadae unatembea kwa akina franco, huku ukiisikiliza leyle, unawapata akina wenge kidogo, unajimwaga kwa akina oliva mutukuzi hasa kwenye neria then unatafuta sehemu ya kupata nyama choma unaachana na wazushi akina harmo.
Taratibu tunaanza kuipa kisogo bongofleva mara nyingi nikiwa peke yangu huwa nasikiliza muziki kusaka usingizi na miaka 2 nyuma nilikuwa nasikiliza bongofleva siku za hivi karibuni nasikiliza waganda, wanaijeria ama yule mgabon Oliver ngoma Yani miziki ya miaka hiyo na naenjoy kweli kuliko kuwasikiliza hao vinuka boksa
Sasa wimbo Kama huo hata usingizi hauji wa kazi gani sasaKwenye zipu kuna kirungu, ukikamata utawaita wazungu![emoji39]
hapo kwa oliva ngoma ni balaa jingineTaratibu tunaanza kuipa kisogo bongofleva mara nyingi nikiwa peke yangu huwa nasikiliza muziki kusaka usingizi na miaka 2 nyuma nilikuwa nasikiliza bongofleva siku za hivi karibuni nasikiliza waganda, wanaijeria ama yule mgabon Oliver ngoma Yani miziki ya miaka hiyo na naenjoy kweli kuliko kuwasikiliza hao vinuka boksa