Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
kupitia sakata hili nimegundua haya
hata wale tuliokuwa tunawaheshimu humu na kuwaona kama kaka zetu katika kutupa miongoza ya maisha nao pia tulitegemea watoe miongozo yenye kuonesha wapi penye nyufa ,
lakini matpkeo yake ndio wameongoza kuongea pumba na mashudu
na wako biased sana mpaka imekuwa kero
halafu hizi nyuzi za kumuongelea mmakonde kila dakika, kwani hakuna mambo mengine ya kuongea humu celebrity?
imekuwa too much
mfano kama hii
www.jamiiforums.com

Harmonize ni mbumbumbu wa sheria, mchanga wa mahusiano na mshamba bado wa umaarufu
Kitu kimoja kuhusu pesa nyingi: Hufunua undani wa mtu katika uhalisia wake....!!! Hata wewe ukizipata leo tutakujua tuu.. Waswahel wanasema pata pesa tujue tabia yako.... Shule ni muhimu sana sana kile kitendo cha kukaa darasani miaka kibao hutufunza mengi hata tusipofaulu mitihani..japo baadhi...