Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Yaani Diamond atake kumwangusha Harmonize?

Like serious?!

Yaani Harmonize aliyekuwa ana-copy kila kitu kutoka kwa Diamond... kuanzia style ya kuimba hadi swagga halafu bado anaye-copy ndie awe threat kwa mwanzilishi?!

Like serious?!

Mkiweka utimu pembeni... hivi Harmonize anamfikia hata hRayvann kwa uwezo wa kimuziki?! Kuanzia mashairi hadi melody?

Kwanini basi huyo Diamond asifanye struggles za kumwangusha Rayvann, ambae kwa vocals, hata Diamond mwenyewe hajafika levels za Rayvann?!

FYI, ambae alikuwa na matatizo na Harmonize ni Sallam....

Na Sallam ndivyo alivyo... yaani huwa hakopeshi!!!

Na hata Harmonize alipotoka WCB, Diamond alikuwa kimya!!

Harmonize alipotoa album, Diamond alii-post lakini alichoambulia "Oh, Diamond anaanza shobo na kutafuta kiki"!

Na ni huyo huyo Harmonize ndie alianza vijembe kwenye nyimbo zake....

Akaja H Baba nae akanunua "ugomvi"
 
Ahsante studio 😂😂😂😂
 
Diamond alimchukua Harmonize akaishi nae nyumbani kwake.

Alienda kushoot nyimbo yake AIYOLA South Africa kwa hela za WCB, Diamond akafanya kolabo nae free kabisaa ya BADO akaenda kimataifa, malazi alilipiwa na WCB.

Leo anasema alikuwa ananyonywa alitaka zile gharama zirudije?
 
Je mtu kusema yake ya moyoni ndio kigezo cha mziki kumshinda?

Sidhani kama uwezo wako wa kufikiri ndio umefikia kikomo na kufikia hilo hitimisho eti muziki umemshinda.
Harmonaize anaweza kuwa sahihi ila anachokifanya ni kutafuta public sympathy kumsagia kunguni mwenzake huu ndio utanzania wenyewe. Mimi nafikili hana washauri na kama wapo hawamjengi kiproffessional.

Anachokifanya ni tabia ya uswahili aangalie atakuja kukosa endorsement maana haoneshi ukomavu yako kama mwanamke anaelialia kutafuta huruma.
 
Huyu dogo alipata bahati ambayo vijana wengi wanaililia hata diamond mwenyewe hakuipata coz a struggle Sana. Nyimbo ya kwanza kwa madiba bondeni hata mahusiano yake na wolper nahisi yalikuwa yakimkakati.

Harmonaize atulie yeye mtoto wakiume kulialia kwenye media kunamuharibia maana diamond ana advantage ya fans base kubwa anatumia mbinu za kizembe kumuangusha
 
Boss akifakisha lazima achanwe kumnyenyekea nyenyekea ni kufuga ubovu, harmonize anaweza asiwe sahihi ila diamond kashfa kama hizo anazo nyingi lakini kwakua ametengeneza fanbase kubwa huwezi kuta yanazungumziwa madhaumifu yake

Wakubadilika hapo sio harmonize, ni wote endapo kuna mahali wanakosea basi zisemwe tofauti zao.

Na sio kunyamazia madhaifu ya mwingine eti kisa huyo mtu ndiye aliyesaidia kumuinua mwingine kimuzuki, hapo hamtakua tofauti na jaji anayeendesha kesi ya mbowe.
 
Hapana sio kiki, amezungumza ukweli ambao hajawahi kuzungumza kwenye media yeyote
Harmonaize ni kijana Muoga na mbinu anazotumia kufanya media bias ili ahurumiwe nizakijinga. Fitina ni kitu cha kawaida kama mtoto umemkuza mwenyewe harafu anaanza kukujambia hua inauma hata kama ungekuwa wewe.

Kijana atulie tu asioneshe kujitutumua , afanye kazi kwa weledi na sio mambo ya disi kwenye nyimbo zake, kushtumiana ni ujinga tu, kijana ana kipaji apambane kuongeza kipunda kusaidia wenzake kama alivyo saidiwa
 

Upo sahihi unachosema coz hata diamond mara kazaa ameonesha chuki japo kijanja. Harmonaize ni public figure anapoonesha chuki za waziwazi kuna mashabiki anaweza kuwapoteza coz diamond yuko kwenye advantage kama mtu aliemshika mkono kumuinua juu alipokuwa chini.

Diamond sio malaika anamapungufu mengi na hatujui alimfanyia nini kijana wake behind the scenes.

Note my words bro harmonaize anajaribu kufanya character assassination kwa diamond njia ambayo mimi nimeiona yakipuuzi tu
 
Kashfa za mondi nyengine zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…