Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Kama umefuatilia vyema interview yote, utabaini hakuwa na nia ya kuzungumza alicho zungumza, ndio sababu ameweka wazi ni mara ya kwanza kuzungumza kwa kina alichozungumza kuhusu kuondoka kwake wcb na maswala mengine tusiyokuwa tunafahamu.
Hakuna kipya kilichosemwa ukisikiliza nyimbo zake alizotoa kuanzia Hainistui mpaka usia zote alikuwa anapita humo humo tena kwa vijembe 🐒
 
Msikilizeni harmonize hadi mwisho alafu ondoa utimu kabisa .angalia kinachozungumzwa utagundua pale wcb kuna fitna kubwa sana .haswa hao wazee wakina fella.sallam hapo ni majungu na kuvunjiana nazi.mimi sipendi mziki na siwafuatiliii sana lakin alichoongea harmonize na alichofanyiwa manara simba kama vinataka kulandana hivi .sema tu manara hakulipa milion 600.

Kwa maelezo ya harmonize ni kuwa hapo wcb mondi anapelekeshwa na hao wenye vitambi .kuwa harmonize atamuua mond kimziki.ila hadi sasa mond sion anachoimba katika miaka hii miwili iloyopita

Full time
Harmonize 7 vs wcb 0

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Swala la Harmonize kujilinganisha na Mond iwe kwa pesa&investment, mafanikio kimziki, fanbase, Exposure na mambo mengine ni ujinga usio na kikomo, ambao umetamalaki kwake mpaka kwa mashabiki zake maana ukweli unafahamika kuwa hafiki hâta 50% ya Mond kwa chochote kile.

Kimziki ameshafeli, hakuna hâta ngoma yake ambayo imeenda mbali tangu atoke WCB, tofauti na KWANGWARU ambayo ilibebwa na uwepo wa huyo anaemtukana leo, ni ngoma gani nyingine kubwa aliyowahi kufanya??
 
Akili zako ni za kushikiwa
 
Point
 
Hiyo full-time ya 7-0 inamsaidia nini Harmonize? Labda mimi ndo ninakuwa mzito kuelewa, itamsaidiaje?

Unajua huyu dogo mnampoteza nyinyi 😂.
 
Msikilizeni harmonize hadi mwisho alafu ondoa utimu kabisa .angalia kinachozungumzwa utagundua pale wcb kuna fitna kubwa sana .haswa hao wazee wakina fella.sallam hapo ni majungu na kuvunjiana nazi.mimi sipendi mziki na siwafuatiliii sana lakin alichoongea harmonize na alichofanyiwa manara simba kama vinataka kulandana hivi .sema tu manara hakulipa milion 600.
Kwa maelezo ya harmonize ni kuwa hapo wcb mondi anapelekeshwa na hao wenye vitambi .kuwa harmonize atamuua mond kimziki.ila hadi sasa mond sion anachoimba katika miaka hii miwili iloyopita

Full time
Harmonize 7 vs wcb 0

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
[emoji204][emoji204][emoji204][emoji204]
et hamronize 7 wcb 0
hivi toka uyo nchumali ame toka uko wcb ame mzidi nn uyo baba ake?
nitajie mafanikio aliyo yapata ktk kipind iki na huo mzik alio mzidi ni upi huo
 
Mashabiki wa Diamond wanapenda kumuattack Harmonize kwasababu wana tabia ya kuwa na chuki zao tu.

Hata kabla hajasema mimi nilijua mkorofi ni domo kutokana na scenario moja niliyowai ishuhudia kati yao hapo nyuma. Harmonize ni mstaarabu sana ila mashabiki wa domo wanamfatafata sana.

Lakini dogo amesimama vema sasa hawataweza kumwangusha zaidi ya kumwongezea fans.
Kwa watoto hawa wadogo wanaokua sasa wanamfaham zaidi hamo kuliko domo.
Mashabiki wa domo wanazeeka wakati mashabiki wa amo wanakua.

Hivyo mahesabu yanaonyesha ni wapi hawa miamba wawili wanaelekea.
 
Msikilizeni harmonize hadi mwisho alafu ondoa utimu kabisa .angalia kinachozungumzwa utagundua pale wcb kuna fitna kubwa sana .haswa hao wazee wakina fella.sallam hapo ni majungu na kuvunjiana nazi.mimi sipendi mziki na siwafuatiliii sana lakin alichoongea harmonize na alichofanyiwa manara simba kama vinataka kulandana hivi .sema tu manara hakulipa milion 600.
Kwa maelezo ya harmonize ni kuwa hapo wcb mondi anapelekeshwa na hao wenye vitambi .kuwa harmonize atamuua mond kimziki.ila hadi sasa mond sion anachoimba katika miaka hii miwili iloyopita

Full time
Harmonize 7 vs wcb 0

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Mzee unadhani wabongo hata ukiwaambia ukweli wanabadili mawazo?

Watanzania sisi ndiyo watu pekee ambao tunapenda au kumchukia mtu bila sababu ya msingi.

Alichofanyiwa harmonize watasema sawa ila kwa ruge rip walikuwa wanasema mnyonyaji hata kama hao wanaodai alikuwa anawanyonya walikuwa wamesaini mikataba kwa hiari yao.

Tanzania jambo linaweza kuwa zuri au baya ila inategemea mtendaji ni nani.
 
Mashabiki wa Diamond wanapenda kumuattack Harmonize kwasababu wana tabia ya kuwa na chuki zao tu.
Hata kabla hajasema mimi nilijua mkorofi ni domo kutokana na scenario moja niliyowai ishuhudia kati yao hapo nyuma. Harmonize ni mstaarabu sana ila mashabiki wa domo wanamfatafata sana.

Lakini dogo amesimama vema sasa hawataweza kumwangusha zaidi ya kumwongezea fans.
Kwa watoto hawa wadogo wanaokua sasa wanamfaham zaidi hamo kuliko domo.
Mashabiki wa domo wanazeeka wakati mashabiki wa amo wanakua.

Hivyo mahesabu yanaonyesha ni wapi hawa miamba wawili wanaelekea.
taja hiyo scenario ni ipi na uelezee n nani kutwa kumuimba mwenzake vijembe kweny nyimbo zake mpaka ime pelekea hata album yake isi sikike hata
 
Hizi hesabu zako umetumia four figure
 
Halafu harmo hana akili ya kuendesha hizi bifu kijanja na kibiashara kama wanavyofanya wazoefu (Kiba na Mond).

Alivyotoka WCB yéyé ndo alikuwa sa kwanza kuanza kumdiss mond kupitia miziki yake, na mpaka leo hakuna nyimbo yoyote ambayo ametoa bila kumdiss Mond, ila mwenzake ni mjanja katika namna ya kuziendea hizi bifu ndomaana hautamuona Mond akiitisha press ili mada iwe Harmonize.

Kazi aliyoifanya leo Harmo ni kazi ya kufanywa na akina HBABA, Babalevo, Juma lokole na machawa wengine, hizi amefikiria nini kwenda kujimwaga hivyo kwenye media? Kwahiyo akiguswa kidogo tena ataitisha press?

Mwenzake alivyo mjanja na mtulivu kwenye hizi mambo, baada ya harmo kumwaga shit yéyé amepost akiishukuru team yake kwa kifanikisha 100M stream kwenye mgoma yake ya INAMA.
 
taja hiyo scenario ni ipi na uelezee n nani kutwa kumuimba mwenzake vijembe kweny nyimbo zake mpaka ime pelekea hata album yake isi sikike hata
Sitaisema kwasababu zangu binafsi. Lakini siku ile nilishangaa kuona domo anaonyesha chuki kiasi kile kwa mtu ambaye nilijua ni tim yake,, baadae nikaambiwa dogo amejitoa huko pengine ndio sababu. So hata baadae nilikuwa nikisikia story zao nilikuwa nakumbuka hiyo issue najua kuwa nani ni tatizo.

Na domo ndo alianza vijembe kama una kumbukumbu vizuri.
 
mzee kama na ww una tumia MIHADARATI acha mara moja

am Done with You !!
 
Sitaisema kwasababu zangu binafsi. Lakini siku ile nilishangaa kuona domo anaonyesha chuki kiasi kile kwa mtu ambaye nilijua ni tim yake,, baadae nikaambiwa dogo amejitoa huko pengine ndio sababu. So hata baadae nilikuwa nikisikia story zao nilikuwa nakumbuka hiyo issue najua kuwa nani ni tatizo.

Na domo ndo alianza vijembe kama una kumbukumbu vizuri.
Aliyeanza vijembe ni Harmonize na Dimondi alikuwa kimya akarudisha majibu kwa kumuita mjomba nchumali, Harmonize akatoa wimbo wa Wapo akiwa analalamika.

Juzi huzi tena kwenye album yake karusha vijembe vya kutosha, kasema mpaka yeye ana nguvu ya kumuua simba akamuita Rayvanny paka anayejiita chui, Dimondi akarusha kijembe eti mihadharati jamaa akajaa upepo akaandika gazeti na press conference juu....mtu pekee anayemuweza Dimondi na WCB ni King Kiba.

utamrushia vijembe na yeye anakutumia kijembe hajai upepo tena kuna muda anakufanyia dharau wazi wazi kabisa 🐒
 
Msikilizeni harmonize hadi mwisho alafu ondoa utimu kabisa .angalia kinachozungumzwa utagundua pale wcb kuna fitna kubwa sana .haswa hao wazee wakina fella.sallam hapo ni majungu na kuvunjiana nazi.mimi sipendi mziki na siwafuatiliii sana lakin alichoongea harmonize na alichofanyiwa manara simba kama vinataka kulandana hivi .sema tu manara hakulipa milion 600.
Kwa maelezo ya harmonize ni kuwa hapo wcb mondi anapelekeshwa na hao wenye vitambi .kuwa harmonize atamuua mond kimziki.ila hadi sasa mond sion anachoimba katika miaka hii miwili iloyopita

Full time
Harmonize 7 vs wcb 0

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Umesema tusiweke utim we mbona umeweka utim? Uyo harmonize anaimba nini tangu atoke wasafi?
 
Back
Top Bottom