Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
- Thread starter
- #41
Hakuna kipya kilichosemwa ukisikiliza nyimbo zake alizotoa kuanzia Hainistui mpaka usia zote alikuwa anapita humo humo tena kwa vijembe 🐒Kama umefuatilia vyema interview yote, utabaini hakuwa na nia ya kuzungumza alicho zungumza, ndio sababu ameweka wazi ni mara ya kwanza kuzungumza kwa kina alichozungumza kuhusu kuondoka kwake wcb na maswala mengine tusiyokuwa tunafahamu.