Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Hapana sio kiki, amezungumza ukweli ambao hajawahi kuzungumza kwenye media yeyoteKiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana sio kiki, amezungumza ukweli ambao hajawahi kuzungumza kwenye media yeyoteKiki
Ukweli mziki ushamshinda.Hapana sio kiki, amezungumza ukweli ambao hajawahi kuzungumza kwenye media yeyote
Je mtu kusema yake ya moyoni ndio kigezo cha mziki kumshinda?Ukweli mziki ushamshinda.
Yaani Diamond atake kumwangusha Harmonize?Nimeamini kuna watu wanaweza kukuchukia na hujawafanyia lolote baya,
Harmonize
1. Aliutekeleza mkataba wake WCB vizuri
2. Waliposhindwana wakamalizana vizuri na wcb wakavuta pesa waliyokuwa wanaitaka (600M)
Choko choko za nini sasa?mtu ana demand respect kwa mtu ambaye alitaka kumuangusha???nnamini mmoja wenu hapa ndiye angekuwa harmonize uvuliwe milioni 600 si ajabu hata mngekuwa mmeshamloga diamond kafia mbali
Ahsante studio 😂😂😂😂Kaongeza misamiati siku hizi kuna matusi , huu ndio wimbo wake wa kwanza kwenye album katoa video juzi juzi, haueleweki anaimba nini, hapo kwenye sleep sleep nafikiri alimaanisha halali lali, hiyo outside sijui ndio ametoka😆
"Yeah hustle everyday I never sleep sleep coz am outside
When am falling love I go deep deep coz am outsidee
Time for the money two for the show enzi za kuuza maji na wanangu wa kariakoo
That was before long time ago I wish you know I wish you know yeaah"
Chorus:
"We are outside outside outside outside
B*tch am outside outside outside outside
Am outside outside outside (Eeeh)
Kondegang we are outside outside outside (Yah yah yah)"
Harmonaize anaweza kuwa sahihi ila anachokifanya ni kutafuta public sympathy kumsagia kunguni mwenzake huu ndio utanzania wenyewe. Mimi nafikili hana washauri na kama wapo hawamjengi kiproffessional.Je mtu kusema yake ya moyoni ndio kigezo cha mziki kumshinda?
Sidhani kama uwezo wako wa kufikiri ndio umefikia kikomo na kufikia hilo hitimisho eti muziki umemshinda.
Huyu dogo alipata bahati ambayo vijana wengi wanaililia hata diamond mwenyewe hakuipata coz a struggle Sana. Nyimbo ya kwanza kwa madiba bondeni hata mahusiano yake na wolper nahisi yalikuwa yakimkakati.Diamond alimchukua Harmonize akaishi nae nyumbani kwake,
Alienda kushoot nyimbo yake AIYOLA South Africa kwa hela za WCB,
Diamond akafanya kolabo nae free kabisaa ya BADO akaenda kimataifa,
malazi alilipiwa na WCB,
Leo anasema alikuwa ananyonywa alitaka zile gharama zirudije?
Jamaa mshamba sana yule.Harmonize niliona amevaa lile koti na joto hili la Dar nikajua tu ni time ya VIOLENCE
Mmakonde ni kiwakilishi cha wapenzi wetu wa zamani ambao we had wonderful moments pamoja + unlimited packages za orgasm ila tulipoachana nao tu wakatutangaza kwa mabaya na tags za upungufu wa nguvu!Jamaa mshamba sana yule.
Boss akifakisha lazima achanwe kumnyenyekea nyenyekea ni kufuga ubovu, harmonize anaweza asiwe sahihi ila diamond kashfa kama hizo anazo nyingi lakini kwakua ametengeneza fanbase kubwa huwezi kuta yanazungumziwa madhaumifu yakeHakuna shughuli hapo
Harmonize inabidi atoe respect kwa mtu aliyemuokota baada ya kuambiwa na BSS kuwa hajui kuimba ila Diamond akaamini kipaji chake na kumsaidia kufika alipofika leo hii
Huyo rayvanny mwenyewe alikuwa ameachwa na Madee kwenye ile label yao kwa kuambiwa hajui kitu ila Simba akamchukua na kuamini kipaji chake na leo hii yupo juu
Muangalie Mbosso khan leo hii wenzake wa kundi la Ya moto band wapo wapi na wanafanya nini kwenye industry? Aslay na yule Beka flavour
Tuje tumsuguse Zuchu right now, one of the top female artist in East and Central Africa
Ooooh!, This Dude Simba need appreciation kwa kutengeneza wasanii wakubwa ambao wanaweza kufanya competition na yy mwenyewe coz label nyingi hapa bongo wameshindwa kufanya ambacho amekifanya yy
Pia wakumbuke ile music label yake sio kwa ajili ya social charity Ila ipo for profit gain
Harmonaize ni kijana Muoga na mbinu anazotumia kufanya media bias ili ahurumiwe nizakijinga. Fitina ni kitu cha kawaida kama mtoto umemkuza mwenyewe harafu anaanza kukujambia hua inauma hata kama ungekuwa wewe.Hapana sio kiki, amezungumza ukweli ambao hajawahi kuzungumza kwenye media yeyote
kushtumiana ni ujinga tu
Daa! angalau kiongozi umewaza nje ya boksi. 😀"anatumika kutusahaulisha mgao rasmi wa umeme unaokuja siku chache zijazo". amesikika kijana mmoja dereva wa bodaboda.
Boss akifakisha lazima achanwe kumnyenyekea nyenyekea ni kufuga ubovu, harmonize anaweza asiwe sahihi ila diamond kashfa kama hizo anazo nyingi
Wakubadilika hapo sio harmonize, ni wote endapo kuna mahali wanakosea basi zisemwe tofauti zao.
Na sio kunyamazia madhaifu ya mwingine eti kisa huyo mtu ndiye aliyesaidia kumuinua mwingine kimuzuki, hapo hamtakua tofauti na jaji anayeendesha kesi ya mbowe.
Kashfa za mondi nyengine zipi?Boss akifakisha lazima achanwe kumnyenyekea nyenyekea ni kufuga ubovu, harmonize anaweza asiwe sahihi ila diamond kashfa kama hizo anazo nyingi lakini kwakua ametengeneza fanbase kubwa huwezi kuta yanazungumziwa madhaumifu yake
Wakubadilika hapo sio harmonize, ni wote endapo kuna mahali wanakosea basi zisemwe tofauti zao.
Na sio kunyamazia madhaifu ya mwingine eti kisa huyo mtu ndiye aliyesaidia kumuinua mwingine kimuzuki, hapo hamtakua tofauti na jaji anayeendesha kesi ya mbowe.