Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Mimi nadhani Diamond labda kama anashindana na kina Davido, Wizkid and likes, lakini kwa Tanzania kashawapiga gape ukubwa hakuna fair competition, watu huwa hawaupendi tu ukweli.
Diamond kashapiga gape kubwa sana, hakuna anayekataa he is our icon hiyo ni fact kabisa lakini haimpi uhalali wa kuwazingua wengine wanaotafuta ugali kwa njia anazotumia yeye pia, sio sawa.
 
Ila lazima tukubali kila kitu kina kushuka, asipojiweka vizuri atakumbuka
 
Ile "Mang'dakiwe" alipita nayo yote vilevile kaongezwa vimaneno kidogo, tayari akawa Teacher.
Mkuu una uhakika hana copyrights mpaka kupewa nafasi ya kurudia ngoma hiyo au unadhani wanaenda enda tu chief? Hizi mambo zipo sana na ni business, nenda kamdiss Whitney Houston kurudia ngoma ya Dolly Parton au Jay Z ngoma ya Pac Me & My girlfriend, Dakika Moja AY na FA feat. Hard Mad wamerudia ya Ngwea dakika moja.. chimbua vitu chief
 
Rayvanny kwa harmonize haingii hata ukucha usimfananishe harmonize na upumbavu
Sasa maoni yako unalazimisha yawe maoni ya wote?

Ukiniuliza mimi nitakwambia Banana Zoro ndio the best, hao wengine wote mnajitutumuwa team ushuzi wanabebwa na mifumo tu ambayo ni hidden.
 
Shetta yupo mbali sana chief, hategemei tena music same to Ommy labda Rich japo nae akiamua kuongea kuna mengi mazito sana basi tu..

Sasa chief unataka kuwapangia watu namna ya ku deal na vitu vinavyowatesa? Nikuulize kwahiyo kwa vile yeye alijisimamia ndio inampa uhalali wa yeye kuwazingua wengine ili wapambane kama yeye sivyo? Pole sana chief
 
Amenisikitisha sana Konde, ndio maana jamaa alichora picha ya mzee mguuni na alilia sana.. Mondi, Sallam, Fella, Talle watu wabaya sana sio vizuri walivomfanyia dogo, mi sio fan wa Konde ila hii ni lesson kubwa sana kwa watu ambao bado tuna safari kubwa kimaisha.. binadam usiwaamini sana
 
Nani alisema Harmonize hajui kuimba, unaongea pumba kweli wewe.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Aya sawa
 
Una ulivyokuwa choko video wanagharamiwa wao kila kitu then apewe faidi hamna cha bure utakuja kuliwa
Juma lokole insta unatukana huku pia unatukana wewe mwanaume wa ajabu sijwahi kuona badaka ya hoja kutwa kutukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…