Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Watu wanaendesha maisha yao kupitia jina la Diamond. Wakiamka mpaka wanalala ni Diamond midomoni mwao.

Wanapata matangazo kwenye page zao wengine wanapata ubalozi kwenye makampuni.

Wakishashiba wanaendelea kudanganya mafala Diamond siku hizi hana lolote.
 
Nimemuelewa mno huyu jamaa katoa ya moyoni nani angeweza kuvumilia mitihani ile
 
Kama kawaida ya wabongo kutoa hukumu kwa maelezo ya upande mmoja.

Kama alipita kwa hao wote hao basi bila shaka walau mmoja wao atathibitisha ama walau kutolea maelezo.

Sasa mkuu unashangaa maneno hayo kutolewa na msanii kama mondi wakati hayo yalikua ni majibizano yao, acheni kukuza mambo na hamjui walijibizana nini mpaka akaambiwa hayo maneno ya ukweli kabisa yaliyomuumiza sana kondeboi.
 
Sijasema kaiba kazi ,sasa siijui hayo maswala ya copyright yametoa wapi.

Nilichokisema ni swala la yΓ©yΓ© kujiita teacher wa Amapiano ilhali hiyo ngoma yote aliyoimba ni melody ya "Mang'dakiwe" kwa kila kitu.
Kwahiyo shida yako chief ni yeye kujiita teacher tu [emoji3]
 
You are such a great genius!
 
Kwa spirit ya konde ya upambanaji naamini atafika mbali sana napenda hustle zake tu dogo ni fighter napo kapoteza ladha ya sauti yake ile ya never giveup, atarudi kwa sasa anaimba kimarekani we are outside yaani kasonga mbele mwelezeni aanze kuimba kiarabu kabisa
 
Pamoja na kutumia ID yako fake kumsema vibaya naamini akikuomba mbususu utaitoa mchana kweupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kama ni Kim Jo Un basi ndo karusha ile missile anayowatishaga wamarekani.

Maneno meeengi na sidhani kama yatabadilisha chochote. Yani ile alitakiwa awe anatoa kidogo kidogo na vithibitisho hata vya kuunga unga tu aendelee kutrend.
 
Diamond na Harmonize theory yako ni kama Ya Mungu Alivyokosea kumuumba shetwain
 
Reactions: Qwy
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…