Tuzo utashi mtu ulaya wasanii kibao wanasusia tuzo na watu wenyewe nao wana timu zao.upumbavu si ni watu ndio wanapiga kura?
alishindwa acheni visingizio
Mbona Konde juzi kazi bonda tuzo za Afrima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuzo utashi mtu ulaya wasanii kibao wanasusia tuzo na watu wenyewe nao wana timu zao.upumbavu si ni watu ndio wanapiga kura?
alishindwa acheni visingizio
Yale ma meneja ya pale yana roho ya kukunja.sana.na uchawiMwacheni aongee ukweli.WCB kuna siphoning ya hali ya juu sana.Hata mnyakyusa Rayvanny ana shida kubwa sana.
Ndo maana Kiba hataki upuuzi toka kwa hao wapuuzi wa WCB woteee
Kumbe unakumbuka vizuri na pale ndipo team zilipo anza Team Jokate, Wema, Kiba na Mange.Nakumbuka kiroja cha zile tuzo...
Na moja ya viroja ilikuwa ni Kiba kumpiku Christian Bella kwenye tuzo, nadhani ya Mwimbaji Bora!!
Hivi Rayvann ana vocal gani au ushawahi kumsikia kabadilika hata kidogo jamaa sijui anaimbaje yaani, ndugu unamjua Young Thug? Unaomuona Lil Wayne wa sasa? Unapata picha gani?Yaani Diamond atake kumwangusha Harmonize?
Like serious?!
Yaani Harmonize aliyekuwa ana-copy kila kitu kutoka kwa Diamond... kuanzia style ya kuimba hadi swagga halafu bado anaye-copy ndie awe threat kwa mwanzilishi?!
Like serious?!
Mkiweka utimu pembeni... hivi Harmonize anamfikia hata hRayvann kwa uwezo wa kimuziki?! Kuanzia mashairi hadi melody?
Kwanini basi huyo Diamond asifanye struggles za kumwangusha Rayvann, ambae kwa vocals, hata Diamond mwenyewe hajafika levels za Rayvann?!
FYI, ambae alikuwa na matatizo na Harmonize ni Sallam....
Na Sallam ndivyo alivyo... yaani huwa hakopeshi!!!
Na hata Harmonize alipotoka WCB, Diamond alikuwa kimya!!
Harmonize alipotoa album, Diamond alii-post lakini alichoambulia "Oh, Diamond anaanza shobo na kutafuta kiki"!
Na ni huyo huyo Harmonize ndie alianza vijembe kwenye nyimbo zake....
Akaja H Baba nae akanunua "ugomvi"
Sababu ameshindwa ndo ukubali pia Diamond alishindwa piaTuzo utashi mtu ulaya wasanii kibao wanasusia tuzo na watu wenyewe nao wana timu zao.
Mbona Konde juzi kazi bonda tuzo za Afrima
Alishindwa ila MTV MAMA akapata, ndipo hapo mkaziangalie tuzo zenu.sababu ameshindwa ndo ukubali pia diamond alishindwa pia
Wacha wee...Hivi Rayvann ana vocal gani au ushawahi kumsikia kabadilika hata kidogo jamaa sijui anaimbaje yaani, ndugu unamjua Young Thug? Unaomuona Lil Wayne wa sasa? Unapata picha gani?
Watu hawajui tu kwa sababu hii sanaa labda ni wageni kiasi, Mondi ndo tabia zake anakunja sana ukianza kumzidi hata kwa kile kidogo.. sema anachokosea Harmonize ni njia anazotumia japo nao wanamzingua ona anachofanya Baba Level ila akifanya Harmonize hana nidhamu [emoji3]Boss akifakisha lazima achanwe kumnyenyekea nyenyekea ni kufuga ubovu, harmonize anaweza asiwe sahihi ila diamond kashfa kama hizo anazo nyingi lakini kwakua ametengeneza fanbase kubwa huwezi kuta yanazungumziwa madhaumifu yake
Wakubadilika hapo sio harmonize, ni wote endapo kuna mahali wanakosea basi zisemwe tofauti zao.
Na sio kunyamazia madhaifu ya mwingine eti kisa huyo mtu ndiye aliyesaidia kumuinua mwingine kimuzuki, hapo hamtakua tofauti na jaji anayeendesha kesi ya mbowe.
Mahaba tu yanawasumbua sijui aliwahi kubadilika lini?Hivi Rayvann ana vocal gani au ushawahi kumsikia kabadilika hata kidogo jamaa sijui anaimbaje yaani, ndugu unamjua Young Thug? Unaomuona Lil Wayne wa sasa? Unapata picha gani?
Kwa maelezo ya mmakonde ana point kadhaa..Uko sahihi kabisa!ruge alikua mnyonyaji but diamond yuko sahihi!!ptuuu!!
Uonevu tu!kunya anye kuku....!!!
Harmonize ni binadamu kila kitu kina kikomo!!
Huyo Mondi mkamilifu Kagombana na Dimpoz,Shetta na Ney na wote kaimba nao ngoma!
Ina maana hao wote wakorofi Mondi ndo mkamilifu?kuna shida WCB mkubali mkatae nyie wenye timu zenu!![emoji57][emoji57][emoji57]
hapo kwenye tuzo zenu , kina nani?Alishindwa ila MTV MAMA akapata, ndipo hapo mkaziangalie tuzo zenu.
Halafu kwani tuzo lazima ashiriki Diamond na WCB wasanii wengine si wapo.
Za hao wanao andaa, kama ww unavyo onyesha mahaba yako.hapo kwenye tuzo zenu , kina nani?
unadhidi kuonesha mahaba ya wazi
Kwani hiki ndio anasema kilimtoa wcb!?Management inapochukua 60% wanatumia hiyo percent katika videos zako, production mpaka usafiri wa kuzunguka sehemu mbalimbali. Hivyo anayechukua 40% ana asilimia kubwa kumzidi wa 60% unless kama alikua anajigharamia hivyo vitu vingine pia.
hapo kwenye tuzo zenu , kina nani?Alishindwa ila MTV MAMA akapata, ndipo hapo mkaziangalie tuzo zenu.
Halafu kwani tuzo lazima ashiriki Diamond na WCB wasanii wengine si wapo.
safi sana unakuwaga na.akili sanaKwa maelezo ya mmakonde ana point kadhaa..
Diamond ana shida mahala, kuna kitu mjomba nchumali kakisema kuwa "diamond ana fanbase kubwa hivyo ukiwa na kaugomvi nae akichukua mashabiki wake we unabaki na kidunchu"
Komenti za wengi humu zinamkandia mmakonde kwa utimu sio kwa kike alichosema.
Inaonekana mondi hakufurahishwa na ujaji wa juu wa kijana, hii kauli ya mmakonde alipomwambia mondi "bro ya nini uumize kichwa, hata nifanye vipi we yako 60, mie nakula 40.. kisha mondi kusema unataka kushindana nami, huniwezi kiserikali,kiuchawi sijui na nini.
Sijajua kabla hajaondoka wcb ni nani alikuwa anaingiza fedha ndefu baada ya mondi nahisi ni mmakonde, kifupi hili jambo mondi hakufurahi.
Na hii ipo, kibinadamu mondi alikuwa anategemea kula pale kwa mjomba nchumali.
Ni kama vile ujenge hotel, kisha serikali waje kuvunja inauma.
Hata pac alipotaka kutoka kwa suge, suge hakifurahia kabisa...
Ile kauli nimesalitiwa na jeshi, inao esha kiasi gani mondi ilimuuma.
Kikubwa mmakonde akaze msuli aendelee na game ndio maisha hayo.
na atakuja kumjibu ,utamwona anajifanya humble sana kamsaidia ,diamond ni bonge la shetani lililovaa sura ya hurumaNimeisikiliza interview mwanzo mwisho, itoshe kusema Diamond Platinumz ni binadamu katiri, mnafiki na mwenye roho mbaya sana.
Hao mashabiki wana chukuliwa vp na bastola, saa nyingine kauli nyingine ni kukubali kushindwa tu.hapo kwenye tuzo zenu , kina nani?
unadhidi kuonesha mahaba ya wazi
safi sana unakuwaga na.akili sana