Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

upumbavu si ni watu ndio wanapiga kura?
alishindwa acheni visingizio
Tuzo utashi mtu ulaya wasanii kibao wanasusia tuzo na watu wenyewe nao wana timu zao.

Mbona Konde juzi kazi bonda tuzo za Afrima
 
Mwacheni aongee ukweli.WCB kuna siphoning ya hali ya juu sana.Hata mnyakyusa Rayvanny ana shida kubwa sana.


Ndo maana Kiba hataki upuuzi toka kwa hao wapuuzi wa WCB woteee
Yale ma meneja ya pale yana roho ya kukunja.sana.na uchawi
 
Nakumbuka kiroja cha zile tuzo...

Na moja ya viroja ilikuwa ni Kiba kumpiku Christian Bella kwenye tuzo, nadhani ya Mwimbaji Bora!!
Kumbe unakumbuka vizuri na pale ndipo team zilipo anza Team Jokate, Wema, Kiba na Mange.
 
Hivi Rayvann ana vocal gani au ushawahi kumsikia kabadilika hata kidogo jamaa sijui anaimbaje yaani, ndugu unamjua Young Thug? Unaomuona Lil Wayne wa sasa? Unapata picha gani?
 
Tuzo utashi mtu ulaya wasanii kibao wanasusia tuzo na watu wenyewe nao wana timu zao.

Mbona Konde juzi kazi bonda tuzo za Afrima
Sababu ameshindwa ndo ukubali pia Diamond alishindwa pia
 
Hivi Rayvann ana vocal gani au ushawahi kumsikia kabadilika hata kidogo jamaa sijui anaimbaje yaani, ndugu unamjua Young Thug? Unaomuona Lil Wayne wa sasa? Unapata picha gani?
Wacha wee...

Kwahiyo tukianza kuzungumzia uwezo wa akina Aslay utataka tumlinganishe na akina Chris Brown, au?!
 
Watu hawajui tu kwa sababu hii sanaa labda ni wageni kiasi, Mondi ndo tabia zake anakunja sana ukianza kumzidi hata kwa kile kidogo.. sema anachokosea Harmonize ni njia anazotumia japo nao wanamzingua ona anachofanya Baba Level ila akifanya Harmonize hana nidhamu [emoji3]
 
Hivi Rayvann ana vocal gani au ushawahi kumsikia kabadilika hata kidogo jamaa sijui anaimbaje yaani, ndugu unamjua Young Thug? Unaomuona Lil Wayne wa sasa? Unapata picha gani?
Mahaba tu yanawasumbua sijui aliwahi kubadilika lini?
 
Kwa maelezo ya mmakonde ana point kadhaa..

Diamond ana shida mahala, kuna kitu mjomba nchumali kakisema kuwa "diamond ana fanbase kubwa hivyo ukiwa na kaugomvi nae akichukua mashabiki wake we unabaki na kidunchu"

Komenti za wengi humu zinamkandia mmakonde kwa utimu sio kwa kike alichosema.

Inaonekana mondi hakufurahishwa na ujaji wa juu wa kijana, hii kauli ya mmakonde alipomwambia mondi "bro ya nini uumize kichwa, hata nifanye vipi we yako 60, mie nakula 40.. kisha mondi kusema unataka kushindana nami, huniwezi kiserikali,kiuchawi sijui na nini.

Sijajua kabla hajaondoka wcb ni nani alikuwa anaingiza fedha ndefu baada ya mondi nahisi ni mmakonde, kifupi hili jambo mondi hakufurahi.
Na hii ipo, kibinadamu mondi alikuwa anategemea kula pale kwa mjomba nchumali.
Ni kama vile ujenge hotel, kisha serikali waje kuvunja inauma.

Hata pac alipotaka kutoka kwa suge, suge hakifurahia kabisa...
Ile kauli nimesalitiwa na jeshi, inao esha kiasi gani mondi ilimuuma.

Kikubwa mmakonde akaze msuli aendelee na game ndio maisha hayo.
 
Alishindwa ila MTV MAMA akapata, ndipo hapo mkaziangalie tuzo zenu.

Halafu kwani tuzo lazima ashiriki Diamond na WCB wasanii wengine si wapo.
hapo kwenye tuzo zenu , kina nani?
unadhidi kuonesha mahaba ya wazi
 
Yaani Mmakonde njomba nchumari hana akili kabisa
Your browser is not able to display this video.
 
Management inapochukua 60% wanatumia hiyo percent katika videos zako, production mpaka usafiri wa kuzunguka sehemu mbalimbali. Hivyo anayechukua 40% ana asilimia kubwa kumzidi wa 60% unless kama alikua anajigharamia hivyo vitu vingine pia.
Kwani hiki ndio anasema kilimtoa wcb!?

Kuna kauli mmakonde kamwambia mondi
"Bro haina haja ya kuumiza kichwa hata nifanyaje yako 60, mie yangu 40, usisikilize maneno ya watu"

Hapo inaonesha mjomba nchumali aliridhika na hiyo fote yake, au mimi sijaelewa vizuri?
 
Alishindwa ila MTV MAMA akapata, ndipo hapo mkaziangalie tuzo zenu.

Halafu kwani tuzo lazima ashiriki Diamond na WCB wasanii wengine si wapo.
hapo kwenye tuzo zenu , kina nani?
unadhidi kuonesha mahaba ya wazi
safi sana unakuwaga na.akili sana
 
Pesa ni mwanaharamu, pesa kagombanisha wengi, makundi kibao yamevunjika kisa pesa..

Alichoongea mmakonde kinaashiria vitu fulani.. ofcz mondi sio malaika nae lazima awe na mabaya yake tofauti na watu wanavyomuona.

Wote sio wakamilifu, wote wana mapungufu maisha yasonge, mmakonde apige kazi tu, shida anapaniki atapoteza vita na kujitoa kwenye game mwenyewe, mondi alipofikia ni pakubwa mnoo kimafanikio.

Ili mmakonde atoboe afute kabisa mabaya ya mondi akumbuke yale mazuri tu basi, kisha apige kazi.
 
hapo kwenye tuzo zenu , kina nani?
unadhidi kuonesha mahaba ya wazi

safi sana unakuwaga na.akili sana
Hao mashabiki wana chukuliwa vp na bastola, saa nyingine kauli nyingine ni kukubali kushindwa tu.

Ina maana Diamond anawashikia bastola watu wasi sikilize na kustreams nyimbo za Harmo.

Yy ana amini bora kuliko Mond its basi aprove hilo kupitia numbers sio maneno,kwani sasa hivi yupo free hayupo chini ya label, Clouds, EA,EFM wanampa airtimes ni wakati wake wa kuprove.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…