Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Halafu harmo hana akili ya kuendesha hizi bifu kijanja na kibiashara kama wanavyofanya wazoefu (Kiba na Mond).

Alivyotoka WCB yéyé ndo alikuwa sa kwanza kuanza kumdiss mond kupitia miziki yake, na mpaka leo hakuna nyimbo yoyote ambayo ametoa bila kumdiss Mond, ila mwenzake ni mjanja katika namna ya kuziendea hizi bifu ndomaana hautamuona Mond akiitisha press ili mada iwe Harmonize.

Kazi aliyoifanya leo Harmo ni kazi ya kufanywa na akina HBABA, Babalevo, Juma lokole na machawa wengine, hizi amefikiria nini kwenda kujimwaga hivyo kwenye media? Kwahiyo akiguswa kidogo tena ataitisha press?

Mwenzake alivyo mjanja na mtulivu kwenye hizi mambo, baada ya harmo kumwaga shit yéyé amepost akiishukuru team yake kwa kifanikisha 100M stream kwenye mgoma yake ya INAMA.
konde lini kaitisha press
 
Ila hili jiwe la mihadarati huko gizani lilikorushwa limempata mbweha husika kabisa yaani... Maana si kwa kutapika huku....

Kajiwe ka Daudi kalikompofoa Goliath ndo kinachotokea sahv... kupapaswa tu ngozi mmakonde kamwaga minofu yote. Kasahau kuwa na kesho ataguswa kwny mfupa kabisa? Hiyo minofu itakuwa ishageuka uozo... Na ndo mwanzo wa mtu kupotea kimziki
 
Kamuulize basha wako anayekukaza kama ana kila timamu kukaza mshenzi aina yako usiye na adabu kwa wenzako
Yule basha aliyekufira mpaka kukupasua puru kwa ofa ya konyagi umeshamuacha ???
 
Huyu mziki ushamshinda,album inafanya vibaya.

Sasa Diamond kama angetaka kila siku kuwa yy.

Kaanzisha lebo ambayo imemtoa yy.
Kampeleka nje kufanya video kubwa.
Kamkutanisha na wasanii wakubwa Africa.
Kamtoa Rayvanny mpaka kufikia hatua ya Colabo na Maluma na kuchukua BET,Tz hii Rayvanny ndiye mwenye nyimbo yenye streams nyingi, kapiga show jukwaa la essence, mafanikio ambayo Diamond hajawahi kuya fikia.

Angeamua kuto kuanzisha label tusinge mjua na Diamond ni mfanyabiashara, always ana angalia faida na label zote duniani zina angalia faida, hata yy na JembeniJembe wanaangalia faida.

Yeye mwenyewe kuimba aliambiwa hajui, Diamond kakaa nae zaidi ya miaka mitatu, akimfundisha na kumpika kimuziki na kuna watu walimwambia hajui kuimba ila Mondi hakukata nae tamaa, kula,kuvaa na kulala kwa Diamond.

Anadai WCB walikuwa wana muogopa yy, haya leo zaidi ya miaka miwili nje ya WCB, yupo yy peke yake,free habanwi je kafika wapi,kampita Diamond?Anapata airtime ktk media zote kubwa zilizo kuwa hazipigi nyimbo zake.

Halafu haja tuambia wasanii wake wanapata kiasi gani, mikataba yao miaka mingapi,wana miaka miwili hawa heleweki wanafanya nini.
Watu wa kusini sio watu
 
Wanaumia kwa lipi wewe compare number zake tokea yupo Wasafi na leo hii, compare streams alizokuwa akizipata tokea Wasafi, alivyokuja kutoa album yake ya kwanza na leo hii ana ya pili cheki number zitakupa majibu.
Haijlishi bwana weee..kumbuka wasafi ni timu kubwa then kwa sasa ni one man show we unategemea kwa mazombie mlivyo na utimu Harmo awe kama alivyokua wasafi?

Kwa upande wake anapambana sana dogo tena mnooo!!wangapi hawajafikia Levo zake Konde?
Yaani kumlinganisha kwa sasa Konde yukk vzr kwa sababu kule the team was big na wasanii wote wanatembela nyota ya wasafi ukitoka umeumia kabisa unapotea totally kwa gemu ila dogo still anakaza kimtind.

Kumlinganisha ni kwamba mi naona kivyake anafanya vzr mnoo!
 
Hakuna shughuli hapo

Harmonize inabidi atoe respect kwa mtu aliyemuokota baada ya kuambiwa na BSS kuwa hajui kuimba ila Diamond akaamini kipaji chake na kumsaidia kufika alipofika leo hii

Huyo rayvanny mwenyewe alikuwa ameachwa na Madee kwenye ile label yao kwa kuambiwa hajui kitu ila Simba akamchukua na kuamini kipaji chake na leo hii yupo juu

Muangalie Mbosso khan leo hii wenzake wa kundi la Ya moto band wapo wapi na wanafanya nini kwenye industry? Aslay na yule Beka flavour

Tuje tumsuguse Zuchu right now, one of the top female artist in East and Central Africa

Ooooh!, This Dude Simba need appreciation kwa kutengeneza wasanii wakubwa ambao wanaweza kufanya competition na yy mwenyewe coz label nyingi hapa bongo wameshindwa kufanya ambacho amekifanya yy

Pia wakumbuke ile music label yake sio kwa ajili ya social charity Ila ipo for profit gain
Nashukuru raisi kwa kuniokota jalalani.
 
Ilu mjue alikuwa anateseka kisaikolojia angalia baada ya kutoka huko hata mwili umekuja ... wachafu klasiki beibiii mtachomwa na kuni zenu maalumu huko jehanamu
 
Mwanamuziki wa kizazi kipya, Harmonize afunguka kuhusu mkataba alioingia na WCB amesema alikuwa akipewa 40% ya mapato yoyote anayoingiza na WCB kuchukua 60% ameamua kuelezea hayo yote kutokana na watu kuwa dhana ya kwamba yeye ni msaliti. Amesema alifanyiwa fitna nyingi zilizopelekea yeye kuondoka kwenye record label hiyo.

Amesema management nzima ya WCB walikuwa wanamuogopa yeye (Harmonize) kwamba anaelekea kumshinda Diamond Platnumz kimuziki, amenongezea pia baba yake Harmonize alivyokuwa akija kumtembelea nyumbani WCB walikuwa wanasema kwamba alikuwa anakwenda kumroga Diamond.

Harmonize ameongezea pia alikwenda Nigeria kwa gharama zake kufanya collabo na Reekado Banks nchini Nigeria na akakatwa dola 5000 na WCB. Alipoona fitna zimezidi alijaribu kutafuta amani lakini ilishindikana, amesema mkataba wake na WCB alishauriwa na Joseph Kusaga kwamba akitafuta mwanasheria asingelipa chochote lakini hakutaka kupambana kwa njia hiyo na akaamua kulipa hela tu (Milioni 600) ili tu kupata amani.

Sasa mbona yuko huru na bado hajamshinda huyo diamond??

Maana labda tutasema wakati yupo wasafi alikuwa anabaniwa sasa kinachofanya mpaka sasa anashindwa kumzidi ni nini?
 
Ilu mjue alikuwa anateseka kisaikolojia angalia baada ya kutoka huko hata mwili umekuja ... wachafu klasiki beibiii mtachomwa na kuni zenu maalumu huko jehanamu
Angalia usije ukawa kuni.
 
Hakuna shughuli hapo

Harmonize inabidi atoe respect kwa mtu aliyemuokota baada ya kuambiwa na BSS kuwa hajui kuimba ila Diamond akaamini kipaji chake na kumsaidia kufika alipofika leo hii

Huyo rayvanny mwenyewe alikuwa ameachwa na Madee kwenye ile label yao kwa kuambiwa hajui kitu ila Simba akamchukua na kuamini kipaji chake na leo hii yupo juu

Muangalie Mbosso khan leo hii wenzake wa kundi la Ya moto band wapo wapi na wanafanya nini kwenye industry? Aslay na yule Beka flavour

Tuje tumsuguse Zuchu right now, one of the top female artist in East and Central Africa

Ooooh!, This Dude Simba need appreciation kwa kutengeneza wasanii wakubwa ambao wanaweza kufanya competition na yy mwenyewe coz label nyingi hapa bongo wameshindwa kufanya ambacho amekifanya yy

Pia wakumbuke ile music label yake sio kwa ajili ya social charity Ila ipo for profit gain
Vipi kuhusu Lava Lava na Queen Dareen.
 
Sasa mbona yuko huru na bado hajamshinda huyo diamond??

Maana labda tutasema wakati yupo wasafi alikuwa anabaniwa sasa kinachofanya mpaka sasa anashindwa kumzidi ni nini???
Yeye kasema anashindana naye, anataka kumzidi ??
 
IMG_20211119_081018.jpg
 
Back
Top Bottom