Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Suala sio first language hata ingekuwa ni fourth language, kwa msanii mkubwa kama yeye anatakiwa aimbe kitu kinachoeleweka, angekuwa hata na mtu anayepitia hizo verse zake na kumpa ushauri, shida ni kwamba anaimba kitu ambacho huko kwenye ngazi za kimataifa hakieleweki na huku kwetu sisi waswahili tunajikuta hatuelewi...kwa level yake sio muda wa kuonyesha uthubutu ni muda wa kufanya kitu kinachoeleweka kama anataka kutoboa kimataifa maana mziki wetu waliopo kwenye mainstream lugha ni shida ila wenzake wanajitahidi kuficha kidogo madhaifu yao kwenye hiyo lugha ya mzungu
Punguza kuponda mdau

Mimi naamini hata wale wanaijeria wanaimba visivyoeleweka.....

Kama unataka uendelee kubishana weka hapa nyimbo za wanaijeria ulizozielewa
 
kati ya nyimbo 59 za konde ni nyimbo tisa tuu wasafi ndo walitoa gharama zao
Na kati ya ngoma zote ulizotaja,kama kuna iliyoenda kimataifa basi Mond alikuwa ndani ya kichupa.Tofauti na Kwangwaru ni ngoma gani nyingine kubwa kwa Harmo?

Hata kwa Rayvanny ngoma zake kubwa Mond alihusika, kuna ngoma gani kubwa kama TETEMA alitoa Ray pekeake?

Mtasema yote ila mpanzi ni mpanzi tu.
 
hahaha!!
hajaongea chochote ameshuka tu kwenye ndege na kuelekea kwake kupumzika.
Ndio alichotakiwa kufanya hicho, yeye si ndio wanamuita Jeshi basi aendelee kupambana na Fitna za mziki na aache kulia lia na kutafuta huruma za Watanzania, na siyo peke yake kuna kina Ommy dimpoz, Shetta, Rich mavoko walilalamika na mwisho wa siku wameamua kutafuta mambo ya kufanya coz hii vita hawawezi

Diamond aliwahi pigana vita na watu waliojiita ndio wenye mamlaka ya mziki wa bongo Flava clouds media na akaishinda bila kulia mbele za watu na kutafuta huruma

Kwahyo nyie wamakonde mjiunganishe pamoja na mkapambane kama mtaweza Ngedele nyie
 
Ohooo unahangaika na huyo kichaa? Hiyo huwa anawezana na mwenzake Innocent dependent.
 
Ndio alichotakiwa kufanya hicho, yeye si ndio wanamuita Jeshi basi aendelee kupambana na Fitna za mziki na aache kulia lia na kutafuta huruma za Watanzania, na siyo peke yake kuna kina Ommy dimpoz, Shetta, Rich mavoko walilalamika na mwisho wa siku wameamua kutafuta mambo ya kufanya coz hii vita hawawezi

Diamond aliwahi pigana vita na watu waliojiita ndio wenye mamlaka ya mziki wa bongo Flava clouds media na akaishinda bila kulia mbele za watu na kutafuta huruma

Kwahyo nyie wamakonde mjiunganishe pamoja na mkapambane kama mtaweza Ngedele nyie
Relaaaax mwache kijana aongee mnataka afiche maovu yenu ili muendelee kumpaka ubaya.

Msipanic kubalini tu kuchutama mmeachwa uchi.
 
Acha kua na mihemko, wapenzi wa nasibu msiwe na mihemko, Siwezi kujua ameachieve nini baada ya kutoka huko, yaweza kua mabaya au mazuri, ila ukweli unabaki pale pale kwamba nasibu sio mfano wa kuigwa, unamsaidia mtu then unaanza kua na roho mbaya akianza kukuzidi, halafu mbaya zaidi unasikiliza wapambe nuksi wenzio wanakujaza maneno, na bila kufanya uchunguzi wako unakurupuka kuanzisha chuki, ina mana kama sio simu ya JPM alikua asipewe termination contract, ni chuki za aina gani hizo..

Nasibu ana represent kati ya vijana wapumbavu ambao wanadhani unaposaidia mtu lazima akulipe fadhila, pia hutakiwi kufanikiwa zaidi yake in which hizo ni akili za kipumbavu..kumbe unaweza kua na pesa lakini ukawa na akili za kishamba na kipumbavu.
Sasa kati yangu mimi na wewe nani ana mihemuko? Comment yangu yenye mistari minne umeijibu kwa gazeti refu lisilokuwa na point hâta moja zaidi ya kuchambana.
 
Punguza kuponda mdau

Mimi naamini hata wale wanaijeria wanaimba visivyoeleweka.....

Kama unataka uendelee kubishana weka hapa nyimbo za wanaijeria ulizozielewa
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji16][emoji16]!!hakuna hata moja yaani wanaijeria mwe!kile kiinglish nuksi!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Isikilize tena hiyo clip ya harmo
Nimeisikiliza sana.
Naomba nikwambie kitu na ukifanyie kazi.

1. Katika maisha yako wapende sana watu wanaokunyanyasa, hao wanakupa presha ya kufanya kitu uondokane na manyanyaso...mwisho wa siku utakuwa bora sana.

2. Usipende kujihurumia huwezi kufika mbali.

Kama Daimond anawakandamiza wasanii wake naomba nimpongeza kwani mwenye akili atapigana ajitegemee.

Mimi binafsi hawa watu wasimangaji, wanyanyasaji ninawapenda endapo nikaona ndani yake kuna fursa huwa sijali na mwisho wa siku huwa nainuka mahindi na hubaki siri ya jeshi ndani yangu.
 
Back
Top Bottom