Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

Mbona kwa ruge hamkuwa mkisema hivi. Nakumbuka case ya ruby mkataba akasaini mwenyewe then akalalama mwenyewe na watu wakamtusi ruge rip
 
Kwani kakwambia hajalipa? Keshalipa sehemu kubwa sana ya pesa
 
Hizi kauli mbona huwa hamzisemi ikiwa anayelaumiwa ni clouds media au marehemu ruge?
We ujui kitu na ujui angle ipi clouds analaumiwa na kutokujua kwako sio kosa lako Bali ufuatilii mziki kiufupi unadandia dandia ungekuwa unafuatilia mziki vizuri usingeniuliza Hilo swali
 
Mbona kwa ruge hamkuwa mkisema hivi. Nakumbuka case ya ruby mkataba akasaini mwenyewe then akalalama mwenyewe na watu wakamtusi ruge rip

Usiseme hamkusema hivyo mimi sijawai kumlaumu Ruge juu ya hawa wasanii wanao saini mikataba wenyewe na kuja kulalamikia watu ... wasanii watanzania ni wanyonyaji wala hawajawi kunyonywa!
 
Kwani kakwambia hajalipa? Keshalipa sehemu kubwa sana ya pesa

Bado hajalipa ndio maanake ndio maana bado hajamaliza unafikiri wanashindwa kuomba restrain asitumie bidhaa zao hadi atakapo vunja mkataba rasimi?
 
Kasikilize vizuri.. Harmo kawasifia sana wasafi hadi Clouds wakanuna
Kwahiyo Clouds watakuwa wanapiga nyimbo za harmonize alizoshirikiana na wasanii wa wasafi au wataendeleza utoto wa ku mute ?
 
Huyo falaa tuu... mavoko nae alipotea njiaa legend kama yeye akaanze kuongozwa na mond lazima washindane

Hoja ya kijinga unaweza ukawa na uwezo wa kuimba lakini huna uwezo wa kujiongoza na kufanya ufike mbali... Muziki haushii kwenye kuimba tuu...kuna mambo mengi na uwekezaji mkubwa una hitajika!


Mavoko hakufanya kosa kwenda WCB bali alikwenda bila malengo pia alikuwa hajitambui....ni msanii kichaa tuuu ambaye anaweza kuwa chini ya diamond na ana kipaji kama cha Mavoko na ashindwe kufanikiwa!

Wajinga walimuongezea ujinga Mavoko kuwa anafanya kosa kusimamiwa na Diamond na yeye akafikiri ni kweli kumbe ana jidanganya...wenye malengo na akili huwa hawaogopi kufanya kazi na watu wenye uwezo kama wao.....

Mavoko ni mmoja wa wasanii wajinga ndio maana alijazwa ujinga na akalewa ujinga na sasa wajinga wanamcheka kwa ujinga wake...
 
Kumbe ndio ametumia kuwaajiri wapiga porojo za mpira akina kanga na ku-mango kwenye tv yake,
 
Ila sio konde boy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mavoka alikuwa anatafuta pa kufiaa kumbe ndo alikuwa anaenda kuzikwa kabisaa

Kama Mavoko kama amekufa kimziki lazima amekufa kifo cha kujitakia maana hakuwa na sababu ya kutoka kama hakuwa na sababu ya kuingia WCB!

Mavoko ni msanii wa ajabu na anaye shangaza sana kwani aliendeshwa na mihemko sana bila fact ili kujitoa WCB
 
Jana Nimemwona QBoy Amebaki Kuwa Kinyozi Tu, Kariakoo !

Domo Ukimchekea Utabaki Kupata Tu Sifa Mitandaoni, Mademu, Na Show Offs.

Ukichokwa Unapigwa Chini, Unapotea.

Harmonize Kashtuka Mapema. Anaweza Kuinuka
Nikweli kabisa
 
Kumbe ndio ametumia kuwaajiri wapiga porojo za mpira akina kanga na ku-mango kwenye tv yake,

Kama ametumia kuwanunua hao ulio wataja ni sawa na ni haki yeke kabisa tena alistahili kabisa zaidi ya hizo na nina hakika hizo 500 kamwe haziwezi kurudisha investiment bali kilicho fanyika kwa Harmobize ni kitendo cha kibinadamu sana na kumuacha aendelee na maisha yake!

Ni lazima wasanii wajue kuwa kuna matokeo ya kila mkataba wanao ingia na watu...wajifunze kusoma na kutafakari!
 
Nilicho kigundua clouds Bado wana tatizo na wasafi pia ata na harmonize..ila nikama kuna mkono mzito kama sio maagizo ya Boss yalio waforce wakubari ii interview...hawako confortable kabsa ..mzuka haupo...
Nimemsikiliza Dozen hayupo kweny ule mzuka wake kama walivyomuweka mavoko mtu kati,mamy baby ndo alikuw anataka km kumcontrol konde kwa maswali kama akandie...konde akamchana no no no wacha kunigombanisha...et mamy baby ok ok!

Walikuwa wanauliza maswali kwa mipaka flani tofauti na wasanii wengine wanaoendaga kutubu wanavyowashambulia.
 
Harmonize anakosaje mil 500 kwenye acc yake?????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Yani mpaka auzew nyumba na vyote alivyonavyooo... Aisee mondi afadhali ya Ruge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Unaweza kuta hata Mondi na yeye hiyo 500 hana, wasanii hawa wanatulisha sana matango Pori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…