Harmonize tumekushtukia

naamini wachangiaji wengi waliopita ni under 35,ukiangalia comment nyingi zimekaa kichawi,so sad kwa sisi vijana kuwa na roho kama hizi eti kwa sbb tu ya mapenzi ya kitu au mtu fulani,vijana wa kitanzania tunauanza uchawi kwenye age hii!so sad
 
Jamani mbona hayo mambo ni kawaida sana au wenzetu mmeanza kutumia simu jana???
Team fulani mnakondea daily kwa kufatilia vitu vidogo vidogo, kwann hizo nguvu msizielekeze kumpromote boss wenu mvaa vikuku???

#Povu liwe jingi maana blankets zote chafu#
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
naamini wachangiaji wengi waliopita ni under 35,ukiangalia comment nyingi zimekaa kichawi,so sad kwa sisi vijana kuwa na roho kama hizi eti kwa sbb tu ya mapenzi ya kitu au mtu fulani,vijana wa kitanzania tunauanza uchawi kwenye age hii!so sad
Hata wewe kijana mdogo unaishabikia Liverpool huo Ni uchawi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu boss wetu akifanya kitu kinajipromote chenyewe
 
Hila hilo swala la kuvaa kikuku hata Mimi sipendezwi nalo Jana asubuh naenda kazini nakutana nakijana mdgo kavaa kikuku mguuni.aliniharibia siku palepale hapa nafanya mpango nipate namba yake nianze kumtongoza[emoji23]
 
Sababu hamna kipya kafanya ndio maana nguvu, macho na akili mmezielekeza kwa mtu mpya... lol
Mnazidi kupoteza nuru machoni roho mbaya ikizidi.
 
Unataka kumtongoza boss wako huyo kijana???
Usisahau siku hizi anavaa hereni za kuning'inia, usoni anapaka make up na mdomoni anapaka lipstick.
 
Kila siku anafanya vitu vipya ndomana anazidi kupanda leo anaimba hallelujah miondoko ya reggae kesho anaimba rumba.
 
Unataka kumtongoza boss wako huyo kijana???
Usisahau siku hizi anavaa hereni za kuning'inia, usoni anapaka make up na mdomoni anapaka lipstick.
Hayo mambo alishaachaga mkuu au ndo unaingia leo mtandaoni.
 
Watu mnachuki sana kwanini? Mungu ndiye mgawa riziki, wewe mwenywe huenda maisha yakk ni useless
 
[emoji108]
Kelele za mtoto amekua aachwe ajitegemee siku hizi zimekwzimekwisha

Hao ndo wabongo dukinaaa,jaziba nyiiingi kwa kujidai kupaza sauti sasasasa wakikugeuzia kisogo na kwenda kulala wanakuacha ufe na lako.
 
Harmonize [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Wao wanatumiwa video wanarepost. Hata ukienda kwenye wall ya Diamond utakuta kaweka video ya watoto wa shule wanacheza jinsi wanavyocheza haiendani na midundo ya mziki
 
[emoji706][emoji706][emoji705]
 
Haters ni wengi.Hata kama atashuka kimziki sioni sababu ya kurudi WCB.Huu ni wakati wake wa kuanza kujiwekeza kama ni biashara ama chochote kitakachomnufaisha mbeleni.Hata mziki ukidorora bado aendelee kuwa na chapoo na heshima yake mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…