Harmonize tumekushtukia

Hiv kwa mfano leo hii aondoke lavalava na mboso WCB si watakuwa lulu uko clouds,WCB ipo kwa ajili ya kutengeneza wasanii wakubwa kwani kuongelewa harmo kinakuuma Nini? yaani anazungumzwa diamond ambaye ni no 1 artist kwa east Africa na anayefanya vizuri Africa na duniani sembuse harmonize.
 
Kwanini harmonize? Kwanini SIO Barnabas? Kwanini SIO marioo? Je harmonize ndio msanii pekee Tanzania mbona wapo wengi? Unasema anapotea mbona kila siku mnamzungumzia yeeye?
Kwahiyo ulitaka kwenye uzi unaomzungumzia harmo nicomment about Marioo na Barnaba? Nadhani wakati unareply comment yangu haukuwa na kichwa na sijui nani alikuwa amekushikia otherwise acha bangi..!!!
 
Kwahiyo kwa kuona Harmonize ni mkubwa sana pale ndiyo mkaenda kumshauri aende kumenejiwa na mtu anajiita Jembe ni Jembe?😀😀😀😀


Me nilidhani anaondoka pale ana mkakati mzuri na wa kueleweka kumbe mashudu🤣🤣
 
Mbona hivi vitu nivyakawaida bongo kiufupi konde katoka wcb .. na huu mchezo wanao wcb kufanya konde boy ndo imekuwa shida tatizo nimoja konde kipindi yupo wcb alikuwa mzuri sasa kutoka nimbaya tena . Ikumbukwee kuwa diamond angebakii kwa papa misifa .. sidhani angekuwa hapaa so tumpush konde ili tuwe na wawili wanaotutambulisha Tanzania. Maana konde anajitumaa .. sana
 
Kaka dunia acha mapenzi wewe .. World.. davido wenyewe hajafikia hukoo
 
Kwahiyo kwa kuona Harmonize ni mkubwa sana pale ndiyo mkaenda kumshauri aende kumenejiwa na mtu anajiita Jembe ni Jembe?😀😀😀😀


Me nilidhani anaondoka pale ana mkakati mzuri na wa kueleweka kumbe mashudu🤣🤣
Mkuu hata Mimi nilifkr konde boy amekaa chini ameng'amua na amejipanga vyema, nilipatwa waswas alipotoa wimbo wa UNO, sijakaa Sawa ametoa boko jingine la mipasho hapo nikajua jamaa ni mweupe kichwan, yaan unaanza kutengeneza himaya yako alaf unatoa boko hvyo , na hzi skendo za kufungiwa YouTube mara kukopy clip ndo nikaconclude jamaa ni la saba kwelikweli...
 
Mkuu Mond alipotoka huko alikuwa anatoa mawe hasa , Ngoma kama nikimwona ikisikika kwenye spika tu inachafua Hali ya hewa , sasa huyu anatoka alafu anaibukia na UNO na maskendo kibao, sasa hv katoa tena mipasho , nahs kaishiwa mashairi au Hana mshauri mzuri
 
Ningekuwa yeye ningeshaipiga chini management nzima. Kitendo cha ngoma kuondolewa youtube tayari ni kufeli kwa management. Yaani wameshindwa kusolve swala mapema.


Domo ana mamanager watatu wazoefu kwenye game mmoja wa nje ya nchi. Na Diamond ni msanii mkubwa sio mjinga yule.

Nilifurahi yeye kutoka lakini alikokwenda ndio tatizo.
 
Kelele za mtoto amekua aachwe ajitegemee siku hizi zimekwzimekwisha

Hao ndo wabongo dukinaaa,jaziba nyiiingi kwa kujidai kupaza sauti sasasasa wakikugeuzia kisogo na kwenda kulala wanakuacha ufe na lako.
Mavimavi
 
Shatan wishez
Tulisema mapema huyo jamaa hawez watu oooh amekua , sjui niaje niaje , amekua ndo kuiba iba idea za watu tena watu ambao wapo exposed ? Mpak unafungiwa YouTube hujajua Tu kuwa wew na management yako haupo matured ?? Harmonize is dead and gone
 
Usishangae sana vitu vya kawaida hivyo mbona domo naye kaiba sana idea za watu au hujui hilo nalo kama hujui sema nikuambie?
 
Kwahiyo ulitaka kwenye uzi unaomzungumzia harmo nicomment about Marioo na Barnaba? Nadhani wakati unareply comment yangu haukuwa na kichwa na sijui nani alikuwa amekushikia otherwise acha bangi..!!!
Nyie si ndo mnasema harmonize anapotea mbona kila siku mnamuanzishia thread kumzungumzia? Halafu sijui unatumia matako kufikiria hizi drama anazofanya harmo domo alishawahi kuzifanya sana TU na watu walisema atapotea but MPAKA Leo jamaa yupo TU harmo KWA sasa HV ni hot cake na ndio no2 trending artist nyuma ya domo halafu mnasema anapotea? Anapoteaje wakati kila siku mnamzungumzia? Mbona humzungumzii belle9 ambaye kapotea umekomaa na harmo? Au barnanba anayeelekea kupotea
 
Kwahiyo kwa kuona Harmonize ni mkubwa sana pale ndiyo mkaenda kumshauri aende kumenejiwa na mtu anajiita Jembe ni Jembe?😀😀😀😀


Me nilidhani anaondoka pale ana mkakati mzuri na wa kueleweka kumbe mashudu🤣🤣
Mikakati mizuri IPI? Hebu tupe hints? LABDA unaweza kuwa na mikakati mizuri kuliko jembe ni jembe
 
Wasanii wengi WA wcb ni wabovu,ubovu wao hauinekani kwasababu ya power waliyonayo wcb mmoja wao ndio huyu anaetoa maboko kila siku na haya maboko anayoyatoa angekuwa wcb yangekuwa hit dunia nzima na watu wangemsifia na threads zingeanzishwa km mia kumlinganisha na kina wizkid,davido n.k ila kwakua hayupo wcb watu wanaona ni maboko
 
Una uhakika mond ni "mjenzi huru" au unaropoka tu unao ushahidi au ni story za vijiweni ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…