sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Relax mkuu... Lakn si ameyataka mwenyewe?! Basi acha apewe kichapo cha mbwa mwizi.Sawa wewe uonaye kesho
Nitawaletea matokeo mjifunze muziki wa bongo 😂😂Mitaa inamsikiliza Harmonize na sio Regina itakuwa Mbosso, Ogopa sana msanii anaeweza kuandika chochote kuhusu maisha yake alafu watu wanamuelewa na magoma yake yanaitika.
Subirini mfundishwe industry mwambieni tu asirushe taulo mapemaMbosso hana uwezo kusimama na harmonize
Album yakutafuta hela ya kodi na nyimbo za kubust upepo vinaenda kuzikwa na Mbosso.Hivi ngoma km nitaubeba ni ngoma unasikiliza popote na watu lika lote ...hebu mpeni heshima harmo
Shida ni kutembelea upepo ili kupata huruma ya mashabiki maandazMbona hili suala ni simple tu. Kila mtu ana washabiki wake. Sidhani kama kutakua na shida yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka 2022 ndio unaishilia hivyo kuna chochote unachoweza kujivunia katika mafanikio yako ..au ndio walewale wa kujipa matumaini......sidhani kama mambo ya mbosso na harmonize yanakupa chochote kwenye uliwengu wa leo uliojaa ushindani na vitaWaswahili wanasema mwanakulitafuta mwanakulipata.
Baada ya kusikia kwamba Mbosso anaachia EP yake siku ya Ijumaa tarehe 28, October. Basi kama kawaida mzee wa kuvizia upepo ili abaki kuwa relevant Harmonize naye akaitangaza siku hiyo kuwa atatoa album na yeye.
Sasa ni wazi ameyakanyaga, mnyoosho atakaopewa na Mbosso hatokaa asahau. Mbosso anaenda kumnyoosha haswa na akibuma atarudi kwa wajinga wenzie kuilaumu WCB kama kisingizio.
Mwaka huu nimeongeza gari nyingine.Mwaka 2022 ndio unaishilia hivyo kuna chochote unachoweza kujivunia katika mafanikio yako ..au ndio walewale wa kujipa matumaini......sidhani kama mambo ya mbosso na harmonize yanakupa chochote kwenye uliwengu wa leo uliojaa ushindani na vita
Mboso anaimba kaswida hauwez moti wa harmonengaMitaa inamsikiliza Harmonize na sio Regina itakuwa Mbosso, Ogopa sana msanii anaeweza kuandika chochote kuhusu maisha yake alafu watu wanamuelewa na magoma yake yanaitika.