sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
- #81
Tushawazoea hao wamechanganyikiwa, wanaangaika tangu mwaka 2009 mpaka leo chuma bado kimesimama dedeMwizi humuhisi kila mtu anaiba, mimi sijazungumzia muziki bali nimezungumzia comments zenu umeshaanza kuniita chawa, je ninge-comment kuwa nimezikubali zaidi nyimbo za Mbosso ungeeniitaje?
Diamond ndiye mtu anayeongoza kwa fan-base Tanzania lakini kuna wengi tu wanaona wanamuziki wengine wanaimba vizuri zaidi yake vivyo hivyo hata nyimbo za Harmonize na Mbosso watu watatofautiana mitazamo.
Kulazimisha kila mtu awe na mtazamo wako nadhani huo tuuite uchawa.