Harmonize umeyakanyaga kwa Mbosso, unaenda kupigwa kama ngoma!

Harmonize umeyakanyaga kwa Mbosso, unaenda kupigwa kama ngoma!

Leteni mrejesho
Mambo ni mazito, Mbosso kamkimbiza mmakonde na chupi mkononi.

Sehemu ambayo mmakonde kafanikiwa ni jamiiforums kwa wenye chuki na roho mbaya.

Ila kwingine kote habari yaemjini ni EP la Mbosso mpaka kwa bodaboda kitaa limeenda.

IMG_20221030_164433.jpg
 
Linganisheni na gharama za promotion. Akili zenu ni za bata.
Promotion and marketing ndio imefanya WCB kuwa lebo pekee iliyofanikiwa Tanzania.

20221030_104955.jpg

Ukiona mtu anatrend nchi ya watu wenye ngozi nyeupe, toa heshima chuki zako hazipunguzi lolote ndio jamaa wanakuwa powerful na vijana wenu wanafilisika kutaka kufata nyayo 😂😂😂
 
Si tuliambiwa atapotea?

Shida ya WCB ni machawa wengi[emoji23][emoji23][emoji23].

Halafu wengi sio riziki

Huyu Mbosso kwa mashairi yake utadhani anaimba taarabu. Harmonize lile jamaa linajua mziki

Yaani hata halitumii nguvu kuimba,.....
Machawa mmepotelea wapi😁😁 haya na anjela kafukuzwa huko , danga linazdi kutafna hela , kufikia January atatoa Albam nyingine ili ale za platform mana Hana endorsement nyingine za kulihandle mama la mama
 
Machawa mmepotelea wapi[emoji16][emoji16] haya na anjela kafukuzwa huko , danga linazdi kutafna hela , kufikia January atatoa Albam nyingine ili ale za platform mana Hana endorsement nyingine za kulihandle mama la mama
Ni ya kweli hayo mkuu kuwa anjela kafungashiwa virago
 
Machawa mmepotelea wapi😁😁 haya na anjela kafukuzwa huko , danga linazdi kutafna hela , kufikia January atatoa Albam nyingine ili ale za platform mana Hana endorsement nyingine za kulihandle mama la mama
Kiukweli mbali na muziki, sijaelewa hata kimoja ulichoandika hapa. Hayo mengine ya msanii huwa sina muda wa kuyafuatilia kabisa.
 
Mambo ni mazito, Mbosso kamkimbiza mmakonde na chupi mkononi.

Sehemu ambayo mmakonde kafanikiwa ni jamiiforum kwa wenye chuki na roho mbaya.

Ila kwingine kote habari yaemjini ni EP la Mbosso mpaka kwa bodaboda kitaa limeenda.

View attachment 2402409
Mashabiki wa jf hawana tofauti na watamaduni music coz huku jf best female artist ni Ruby.
Wanao msifia konde wote humu hawajaenda kustream.
 
Back
Top Bottom