Harmonize umeyakanyaga kwa Mbosso, unaenda kupigwa kama ngoma!

Linganisheni na gharama za promotion. Akili zenu ni za bata.
Promotion and marketing ndio imefanya WCB kuwa lebo pekee iliyofanikiwa Tanzania.



Ukiona mtu anatrend nchi ya watu wenye ngozi nyeupe, toa heshima chuki zako hazipunguzi lolote ndio jamaa wanakuwa powerful na vijana wenu wanafilisika kutaka kufata nyayo 😂😂😂
 
Si tuliambiwa atapotea?

Shida ya WCB ni machawa wengi[emoji23][emoji23][emoji23].

Halafu wengi sio riziki

Huyu Mbosso kwa mashairi yake utadhani anaimba taarabu. Harmonize lile jamaa linajua mziki

Yaani hata halitumii nguvu kuimba,.....
Machawa mmepotelea wapi😁😁 haya na anjela kafukuzwa huko , danga linazdi kutafna hela , kufikia January atatoa Albam nyingine ili ale za platform mana Hana endorsement nyingine za kulihandle mama la mama
 
Machawa mmepotelea wapi[emoji16][emoji16] haya na anjela kafukuzwa huko , danga linazdi kutafna hela , kufikia January atatoa Albam nyingine ili ale za platform mana Hana endorsement nyingine za kulihandle mama la mama
Ni ya kweli hayo mkuu kuwa anjela kafungashiwa virago
 
Machawa mmepotelea wapi😁😁 haya na anjela kafukuzwa huko , danga linazdi kutafna hela , kufikia January atatoa Albam nyingine ili ale za platform mana Hana endorsement nyingine za kulihandle mama la mama
Kiukweli mbali na muziki, sijaelewa hata kimoja ulichoandika hapa. Hayo mengine ya msanii huwa sina muda wa kuyafuatilia kabisa.
 
Mashabiki wa jf hawana tofauti na watamaduni music coz huku jf best female artist ni Ruby.
Wanao msifia konde wote humu hawajaenda kustream.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…