sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
-
- #81
Tushawazoea hao wamechanganyikiwa, wanaangaika tangu mwaka 2009 mpaka leo chuma bado kimesimama dedeMwizi humuhisi kila mtu anaiba, mimi sijazungumzia muziki bali nimezungumzia comments zenu umeshaanza kuniita chawa, je ninge-comment kuwa nimezikubali zaidi nyimbo za Mbosso ungeeniitaje?
Diamond ndiye mtu anayeongoza kwa fan-base Tanzania lakini kuna wengi tu wanaona wanamuziki wengine wanaimba vizuri zaidi yake vivyo hivyo hata nyimbo za Harmonize na Mbosso watu watatofautiana mitazamo.
Kulazimisha kila mtu awe na mtazamo wako nadhani huo tuuite uchawa.
Tuache utani jamani nyimbo moja ya mbosso "huyu hapa" ni nzuri kuliko nyimbo zote albam ya harmonizeAn mmakonde umlinganishe na huyu Mboso
Usinilazimishe bwana! Sasa ntaelewaje kitu ambacho sikufuatilii ?π π π , mkuu kumbe ulielewa ila hauna muda wa kuyafuatilia tu.
Bongo.
moja ya comment dhaifu kuwahi kutokea jfMashabiki wa Mboso wengi wanawake mwanaume kabisa unakaaa unarudia rudia kusikiliza nyimbo za mboso
[emoji2936][emoji2935]Mwizi humuhisi kila mtu anaiba, mimi sijazungumzia muziki bali nimezungumzia comments zenu umeshaanza kuniita chawa, je ninge-comment kuwa nimezikubali zaidi nyimbo za Mbosso ungeeniitaje?
Diamond ndiye mtu anayeongoza kwa fan-base Tanzania lakini kuna wengi tu wanaona wanamuziki wengine wanaimba vizuri zaidi yake vivyo hivyo hata nyimbo za Harmonize na Mbosso watu watatofautiana mitazamo.
Kulazimisha kila mtu awe na mtazamo wako nadhani huo tuuite uchawa.
Chawa hao wamerogwa[emoji2936][emoji2935]
Facts 100%β
Wamerogwa sana.Chawa hao wamerogwa