mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Wale wote mlio kua mnamringanisha Alikiba na harmonize inabid mjitasmin Tena kwa matukio haya harmonize katoa album yenye nyimbo 16 na uzinduzi mkubwa wa garama but haku trend kiivyo album mzima ikaja kufutwa na picha mbili za Alikiba na location ya kiba na hamisa mobeto ndivyo vilivyo kuja ku trend
Jana kiba ametoa nyimbo ambayo ndani ya masaa sita imesha kaa trend number 1 kitu ambacho hata diamond hajawai kufanya na mpaka Sasa ipo number moja trend na Zaid ya watizamaji laki 7
Hamuwez mringanisha harmonize na Alikiba mtakua mnampa harmonize mzigo asio weza kuubeba Alikiba atabaki kua namba mbili tu na dimond atabaki kua namba moja mpaka pale kizaz chetu ich kitakapo Isha ndio watakuja wengine
Sababu kusema kwel harmonize anavyo jitaid kufanya kazi na Alikiba alivyo relax ndio utajua watu sasaiv hawapend tu mziki mzuri kati ya diamond na Alikiba Ila wanawaenda wao Kama wao alafu mziki ndio unafata
Unaweza kunikosoa na kunirekebisha pia sababu napenda challenge
Sent using Jamii Forums mobile app