Harmonize vs Alikiba

Harmonize vs Alikiba

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2020
Posts
1,257
Reaction score
1,543
Wale wote mlio kua mnamringanisha Alikiba na harmonize inabid mjitasmin Tena kwa matukio haya harmonize katoa album yenye nyimbo 16 na uzinduzi mkubwa wa garama but haku trend kiivyo album mzima ikaja kufutwa na picha mbili za Alikiba na location ya kiba na hamisa mobeto ndivyo vilivyo kuja ku trend

Jana kiba ametoa nyimbo ambayo ndani ya masaa sita imesha kaa trend number 1 kitu ambacho hata diamond hajawai kufanya na mpaka Sasa ipo number moja trend na Zaid ya watizamaji laki 7

Hamuwez mringanisha harmonize na Alikiba mtakua mnampa harmonize mzigo asio weza kuubeba Alikiba atabaki kua namba mbili tu na dimond atabaki kua namba moja mpaka pale kizaz chetu ich kitakapo Isha ndio watakuja wengine

Sababu kusema kwel harmonize anavyo jitaid kufanya kazi na Alikiba alivyo relax ndio utajua watu sasaiv hawapend tu mziki mzuri kati ya diamond na Alikiba Ila wanawaenda wao Kama wao alafu mziki ndio unafata

Unaweza kunikosoa na kunirekebisha pia sababu napenda challenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukua pepsi nitalipa...maana harmonize katoa ngoma siku nne ndo inafika 1M lakini kiba bado kiduchu ifike 1M...kiufupi anajitutumua sana lakini kwa wale wawili hawezi gusa labda chuki tu za watu kumpaisha....yeye apambane kwanza kutengeneza mashabiki wake kindaki ndaki ndo aje apambane na hawa wawili lakini akitegemea watu kama H Baba atafeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ulivyosema Diamond na kiba wanapendwa kwanza wao mziki ndo unafuata hapa nakuunga mkono ila kuhusu ngoma mpya ya kiba nazani imebustiwa na umaarufu wa hamisa mobetto kuliko ngoma yenyewe na kiba mwenyewe ukitaka kujua Hilo hiyo ngoma ndani ya wiki moja itakuwa kaburini.
 
Ila unapo sema umaarufu wa amisa mobeto ndio umeipush hii nyimbo unasahau kwamba hamisa mobeto nae ni msanii na anatoaga nyimbo kibao why asizibust nyimbo zake mwenyewe aweze ya kiba?

Wewe team mond kindaki ndaki kweli utamsifia kiba [emoji1787]
 
Bora alikiba

Diamond anaimbia jina tu ila anachokiimba anakijua mwenyewe, mashabiki hatumuelewi
 
Ila unapo sema umaarufu wa amisa mobeto ndio umeipush hii nyimbo unasahau kwamba hamisa mobeto nae ni msanii na anatoaga nyimbo kibao why asizibust nyimbo zake mwenyewe aweze ya kiba?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamisa ni mtu mwenye mashabiki wengi lakini mashabiki wake sio wapenzi wa mziki ni Kama ilivyo kwa Zari yaani kiufupi ni socialite ndomaana nikakuambia after one week ngoma hiyo ya kiba itapotea ikisurvive tutaamini Kuna nguvu ya kiba kitu ambacho sitarajii.
 
Wewe ndo humuelewi usitusemee wote sawa, alafu naunga mkono hoja ya kuwa alikiba katrend kwa sababu ya kumtumia hamisa mobeto na inajulikana mobeto ni x wa chibu, ndo maana kashindwa hata kufikisha views milioni 1 ndani ya saa 24

Sent using Jamii Forums mobile app
Kufikisha views M1 sio kipimo cha kazi nzuri . Wabongo mnakwama wapi kwenye kuchanganua mambo kisomi zaidi?
 
Wewe team mond kindaki ndaki kweli utamsifia kiba [emoji1787]
Me nimpenzi wa mziki mzuri wa msanii yoyote na Mafanikio ya msanii ukijui hii usinge comment hivyo. unaposema simfii kiba utakuwa unapitia nyuzi zinazohusu WCB pekee zingine upitii alafu lazima ujue kutofautisha kwenye hoja yoyote Kati ya fact na ushabiki ukijui hili alitakusumbua.
 
unasema kiba kakaa number1 kwa saa 6 kitu ambacho mondi hajafanya??
kwa taarifa yako ngoma ya gere ilienda namba1 kwa masaa 5 pekee
 
Kufikisha views M1 sio kipimo cha kazi nzuri . Wabongo mnakwama wapi kwenye kuchanganua mambo kisomi zaidi?
Kama sio kipimo wewe unapimaje ngoma imefanya vizuri ikiwa hata vigezo vingine ngoma imekosa Kama vile haisikiki mtaani,haina mauzo mazuri,haina tuzo yoyote
 
Wimbo wa Kwangaru ulileta tuzo ipi hapo WCB ?
Ila ilikuwa inasikika sana kote nchini na East Africa na wakati huo ndio iliongoza kuwa na mauzo makubwa kuliko ngoma yoyote kwenye East Africa.
 
Back
Top Bottom