mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,695
Basi angetoka na demu mkali ambrand kupitia WCB ili ajulikane na sio huyo mama[emoji28]Umemkosoa Hamonize kwa kumtolea mfano atulie kama Baraka je Baraka katulia na wangapi mpaka sasa toka awe star?
Ivi ujafikiria kwa nini awe wolper na sio demu mwingine? Ushajiuliza kwa nini Diamond alimtumia wolper hata kwenye wimbo wake? Ivyo vitu havijatokea kwa bahati mbaya bro ebu kaangalie Twitter ya Diamond.Basi angetoka na demu mkali ambrand kupitia WCB ili ajulikane na sio huyo mama[emoji28]
Hamna cha zaidi ni kiki tu,Ivi ujafikiria kwa nini awe wolper na sio demu mwingine? Ushajiuliza kwa nini Diamond alimtumia wolper hata kwenye wimbo wake? Ivyo vitu havijatokea kwa bahati mbaya bro ebu kaangalie Twitter ya Diamond.
Hujui nguvu ya Wolper tatizo kwa sasa imagine angekuwa demu tofauti na Wolper watu mngetoka mapovu kama sasa hivi?Hamna cha zaidi ni kiki tu,
Ila hawakufanya vizuri kumpatia wolper[emoji57]
Hahahaaaa..!!haya bhanaHujui nguvu ya Wolper tatizo kwa sasa imagine angekuwa demu tofauti na Wolper watu mngetoka mapovu kama sasa hivi?
HahahaaHamna cha zaidi ni kiki tu,
Ila hawakufanya vizuri kumpatia wolper[emoji57]
Kapangishiwa na kodi imekaribia kuisha, dogo ndo kapewa hilo jukumuWolper nasikia ana mjengo mkali sana na usafiri wa BMW
ANHAHAHAHAHAHAHAAAAAAHAAA...... U MADE MY DAY[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nkubwa ana ogea chitili waya? Ntonto wa mwenzio kumuita nkubwa hata hainogi .....!
Alipangishiwa na nani na hilo jumba lipo wapi? Halafu hivi sasa si ana BMW s6Kapangishiwa na kodi imekaribia kuisha, dogo ndo kapewa hilo jukumu
BMW X6 ila ilisajiliwa kama pikipiki TRA wakainasa[emoji15] [emoji23] [emoji3]Wolper nasikia ana mjengo mkali sana na usafiri wa BMW
Kwahiyo TRA waliipiga mnada mazima au ipo hadi ailipie?BMW X6 ila ilisajiliwa kama pikipiki TRA wakainasa[emoji15] [emoji23] [emoji3]
mateso ya jaqline walper"Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Masikioni Na Puani"
ndivyo ilvyotokea, kuleana dot com, tambemenda isee, lakini ndio hivyo wbongo fleva wameamua kujifunza mapenzi kwa bibi zaoMke au mama yake mlezi? Child abuse!
Somo ntonto amenoga hadi watu watoka povu...chimwachi aisee..NTU NCHAKE BHANA N'JOMBA NCHUMALI