Harmonize: Wolper ni mke wangu, bado ubani tu

Harmonize: Wolper ni mke wangu, bado ubani tu

Umemkosoa Hamonize kwa kumtolea mfano atulie kama Baraka je Baraka katulia na wangapi mpaka sasa toka awe star?
Basi angetoka na demu mkali ambrand kupitia WCB ili ajulikane na sio huyo mama[emoji28]
 
Basi angetoka na demu mkali ambrand kupitia WCB ili ajulikane na sio huyo mama[emoji28]
Ivi ujafikiria kwa nini awe wolper na sio demu mwingine? Ushajiuliza kwa nini Diamond alimtumia wolper hata kwenye wimbo wake? Ivyo vitu havijatokea kwa bahati mbaya bro ebu kaangalie Twitter ya Diamond.
 
Hamna cha zaidi ni kiki tu,
Ila hawakufanya vizuri kumpatia wolper[emoji57]
 
Hamna cha zaidi ni kiki tu,
Ila hawakufanya vizuri kumpatia wolper[emoji57]
Hahahaa

Kwani imekuwa movie kuna mtu pale wcb ana andka scrip mpaka Jitu zima kama li harmonize lipewe mwanamke!!!?

Imetokea tuu kibinadam hyo
 
"Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Masikioni Na Puani"
 
Hv jaman nan mgeni wa vijana!! Kwann kubishana bila nukta!!! Kipendacho roho jomba'kama kaazama atajitoa mwenyewe tatzo liko wap?
 
BMW !!mbona kawaida sana ninapkpk yangu toyo mjin kila day tunafka tena cijui kama kunafoleni. Gariiiii!!! Hapa mjin cyo dili kabisaaa
 
Back
Top Bottom