Harmonize: Wolper ni mke wangu, bado ubani tu

Harmonize: Wolper ni mke wangu, bado ubani tu

Mbona wengi mumekasirika, kwani kuna tatizo kwa huyu bwana mdogo kumpenda huyu bibi? Mmekua kama mungu watu
 
Baada ya Jacqueline Wolper kuthibitisha penzi lake kwa msanii wa WCB, Harmonize, muimbaji huyo wa ‘Bado’ ameibuka na kudai kuwa muigizaji huyo ni mke wake, na anachosubiri ni kuhalalisha tu.

x13248960_733309796808616_276779801_n.jpg.pagespeed.ic.mviNVeesju.jpg


Uhusiano wa wawili hao hauna hata mwezi tangu uweke bayana.

Akiongea na kipindi cha The Premier cha Kings FM, Harmonize alisema hajali watu wanavyosema kuwa Wolper ana umri mkubwa kumzidi.

Msikilize zaidi hapo chini akiongelea mahaba yake na Wolper.
Harmonize - Kuhusu Wolper - download and stream
Ni huzuni.....
Kwa vijana kuanza kula malapulapu...
Wa hivi wako wengi sana
Ila mwisho wao...ni Mungu anaujua.
 
acha ushamba we nangu nangu! umetoka sitimbi uko umekuja dar kutafuta maisha, unaacha kuchanga ili uwasaidie ndugu zako unaanza kuleta usengelema na kanyimbo kako kamoja ako, we lete ujinga wako town apa urud kwenu uko ukalime ming'oko! kick hazitafutwi ivyo mdogo wangu
Daaah,.uminikumbusha ming'oko bwana ww baah!!!kunogaa inajua kulelesaa bariidii n'damonii humoo chaa[emoji23] [emoji23]
 
Kweli tatizo ni timu..

Sasa mnaofikiri Harmonize kuwa na Wolper ndo ataporomoka kimuziki mmekosea sanaa.
Harmonize anamtumia Wolper kama daraja ya kufanikiwa zaidi.
Ref: diamond and wema mlidisi sana hvyo dogo na yeye anapitia njia hiyo hiyo kufikia mafanikio.
ok, Time will tell... yetu macho[emoji102]
huyu dogo ana akili sana...njia alizopitiadiamond na yeye anapita hukohuko
 
Ni huzuni.....
Kwa vijana kuanza kula malapulapu...
Wa hivi wako wengi sana
Ila mwisho wao...ni Mungu anaujua.
Wolper kupata mwanaume mwenye hadhi hawezi ndo mana anakimbilia matinaja. Tatizo harmonizer anatumia njia aliyotumia daimond na sikuhizi kiki zinapuuzwa mbona bongo flavour za zamani zilikuwa nzuri no kiki na upumbavu.
 
dogo kula bwana kwani wewe ni under 18... kulaaa tuu... kuna wengine wanamtamani wolper basi tu
 
Kiki hiyo !!!
Mkuu hata kama ni kiki siwezi toka na huyo mama na harmonize kakosea sana alishindwa nn kutafuta mtoto mkali afu akambrand kupitia kampuni yao ya WCB ..??? namshauri angalie vijana wenzake kama Baraka da prince alivyovuta kitu hatari yeye atabakia tu kiki siku zinaenda,,[emoji22]

Watch out bro Umekosea sana
 
Back
Top Bottom