HahahaaaaaaahKama ameweza kuchezea nywele ndefu basi na zile fupi za boss wake hua anazichezea kimya kimya
Unajua maana ya kuwa sober?Halafu mbona kama bosi yuko "sober" na wala cjamsikia kwenye list ya Makonda! Aripoti central faster!
[emoji119]Hahahaaaaaaah
Hujasikia singo yake ya 'usitoe pasi'?Hivi huyu Jmaaa anafanya Nn Mjini.... Naona Skendo tu kila Siku Zisizo na Mbele wala Nyuma
Wewe ni mpuuzi kwel kwel πππKama ameweza kuchezea nywele ndefu basi na zile fupi za boss wake hua anazichezea kimya kimya
Ngoja na yy atajwe ktk listHuyu dogo sasa kazidi, kila siku anakuja na kituko kipya
Yeye anatamka uthitoe pathiHujasikia singo yake ya 'usitoe pasi'?