Harmorapa Fans' Special Thread...

Harmorapa Fans' Special Thread...

Mjini maigizo mengi.
16464000_373695899662903_1520372608367853568_n.jpg
 
Safi sana Harmorapa.Mla mla leo,mla jana kala nini?
Angekuwa footballer angefaa sana...ana miguu ya mpira
 
Imebaki kuletewa harmorappa AKINYAAAA......ahahahaaa.
Ila mbona dogo anawatia jambajamba timu fulani hapa mjini...MULIYAANZA WENYEWEEEE ohhho kaiba jina letu mara ohhh kafanana na nyani mara sokwe.....sasa dogo ameamua kuwanyoooshaaaaa....dogo anayajua malavidav balaaa kuliko hata aliyeporwa jina. ....

SIKU MUKIACHA DHEREU NDIO SIKU DOGO ATAACHA KICK NA UTAFUATA MUZIKI.......
 
Back
Top Bottom