Harmorapa Fans' Special Thread...

we unaona kuna akili hapo. ngoja wampagawishe wambebeshe unga ndo ataelewa
 
anajitengenezea mazingira mazuri ya kuwa karibu na majambazi naona
 
Makonda inabidi awatembelee hao, hizo spea zina walakini!!!!?
 
kwani huyu dogo ana mixe gani hapa town
 
Huyo bosi nae hana akili.
 
Nahisi kuna kampeni flani anatengenezewa uyu..
 
afu wakishutumiwa na madawa ya kulevya wanaanza kulia lia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…