WirelessBrain
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 980
- 1,350
Mnacheka nini...mlitaka diamond ndo atawale milelehahahaha
Ni mwanamuzikiHuyu jamaa kwanini asijiunge na original comedy maana anafaa kuchekesha zaidi kuliko kuimba
Wewe Rutta ni shabiki mkubwa wa HarmorapaMnacheka nini...mlitaka diamond ndo atawale milele
Hawezi hata siku mojaHa ha ha,Hajawai kuni disappoint
Kuna kitu kikubwa sana kujifunza kwa harmorapa, tuache kufuata njia tulizozoea kila sikuHuyu dogo hata kama hajui muziki au hana talent lakini ni "mbishi" hii kitu watu wengi hatuna na ni kikwazo kwa mafanikio yetu! Go go Harmorapa!