Harmorapa Fans' Special Thread...

Harmorapa Fans' Special Thread...

Hahahhahaha we harmorappa em acha kutushughulisha... mkuranga tu hapo hawajui hata nyimbo yako moja... !!
 
Anawashauri wafanye mziki mzuri[emoji22] yeye anamziki UPI mzuri[emoji23] kiki za ajabu hazifai kwenye media[emoji38] wakati yeye ndio zimemuweka mjini[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Huyu dogo hata kama hajui muziki au hana talent lakini ni "mbishi" hii kitu watu wengi hatuna na ni kikwazo kwa mafanikio yetu! Go go Harmorapa!
Kuna kitu kikubwa sana kujifunza kwa harmorapa, tuache kufuata njia tulizozoea kila siku
 
Back
Top Bottom