Ina onekana mna mipango mikubwa sana mwaka huu hadi mpango wa MTV 2017.....tisha sanaaaaHarmoRapa4MtvAward'17
World tour [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] harmorapa ,basi na mm nitaanza tour yangu mikoani mwezi wa 15hahahaha
Mm naona anafaa kuigiza mizengweHuyu jamaa kwanini asijiunge na original comedy maana anafaa kuchekesha zaidi kuliko kuimba
Kuna msanii anaitwa Fred Saganda yule aliyeimba wimbo wa Rafael! Sijui kama kuna msanii nchi hii multitalented kumzidi huyu jamaa tena msomi, Lakini mafanikio yake hayalingani kabisa na talanta lukuki alizojaaliwa!Kuna kitu kikubwa sana kujifunza kwa harmorapa, tuache kufuata njia tulizozoea kila siku
HahahKesho ataenda klabuni Simba Sports kuwapa pole ya kufungwa na Kagera sugar
Kiboko ya mabishooIna onekana mna mipango mikubwa sana mwaka huu hadi mpango wa MTV 2017.....tisha sanaaaa
Yes, kama Mjomba kuuza CD pekupeku uwanja wa taifa.Kuna kitu kikubwa sana kujifunza kwa harmorapa, tuache kufuata njia tulizozoea kila siku
Teh teh teh teh[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]!!!! World tour,,harmorapa??? tutaona mengi mwaka huu!!
Mwanamziki mchekesheji atakuwaNi mwanamuziki
Anachekesha watu wenye akili timamu, au watu gani?Huyu jamaa kwanini asijiunge na original comedy maana anafaa kuchekesha zaidi kuliko kuimba