jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
hivi kwenu wote mna sura zinazo vutia kila mtu?Kutokana na hamorapa inanifanya kuamini kuwa kumbe kweli binadamu tulikuwa sokwe huyu ndio kaja karibuni mjini
bila picha ainogi
Kutokana na hamorapa inanifanya kuamini kuwa kumbe kweli binadamu tulikuwa sokwe huyu ndio kaja karibuni mjini
Halafu ana bahat sana,media zinamtafuta huyu Kijana.Kisura anafosi mambo, dah! Media zikikupandisha ujue zitakutumia na zitakushusha!
Halaf ukute anayemsema hapa hana lolote zaid ya email na akaunt ya jfMwacheni dogo atoboe anastahili, sura nzuri peleka kwa akina delicious
Inakuaje kila mtu ni GIANT kwake??Si mchezo!
aise kumbe kweli dogo anawalisha watu ndim
Bila picha nitakua wa mwisho kuamini hii habari