Harmorapa Fans' Special Thread...

na respect struggles za harmo rapa na confidence aliyonayo ktk kusimamia kile anachoamini,kick ni moja ya mbinu zinazotumiwa na wasanii mbalimbali wa levels mbalimbali na wa sehemu mbalimbali.SO FAR amefanya vizuri zaidi kwenye kutengeneza jina(kuji brand yeye) akitumia fursa hii ambapo bado yupo hot na still he is a talk of the city ,ku release hit songs, ngoma kali kali,yani kiki zikiambatana/zikiongozana na ngoma kali,au kama hivo anavofanya kolabo na mastaa wa ndani na nje, atafika mbali sana,lakini aki base/kiijikita zaidi kwenye kiki zaidi kuliko kuachia ngoma kali atapotea fasta mazima na itakua kazi sana kurudi katika piki aliyofikia once akipotea.KIKI ZIWE KWENYE MIZANI ILIYO SAWA/ZI BALANCE NA KAZI NZURI/KUTOA NYIMBO MPYA KALI .....mimi ni mshabiki wa harmo rapa,nimevutiwa sana na JUHUDI ZAKE BINAFSI NA KUJIAMINI keep it up ....kiungo mpambanaji(KIBOKO YA MABISHOO).
 
Nadhani kesho madame ataitisha press conference kutengua kauli yake ya insta kuhusu harmorapa sukari ya warembo😀😀😀
 
naona harmorapa kinachomfanya kuwepo hapo alipo ni management yake+media
 
Reactions: SDG
Siamini ngoja nisome upya yani mtu apande ndege toka uberigiji to tz kufanya tu colabo na harmorapa
Harmorappa ni msanii tayar sasa usichokiamini nini mazee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
naona harmorapa kinachomfanya kuwepo hapo alipo ni management yake+media
Hasa management,
Kwa sababu yenyewe ndo inaratibu kila kitu,yeye anapewa maelekezo.
Niliwahi kulieleza hili kuwa jamaa ana menejiment inayojua Industry,kwa maana hiyo itahakikisha anafika wanakopataka.
Na huyo kijana inaonesha ana nia ya kumove,
 
Akimaliza hapa atakwea pipa kwenda New York maana ile callable na Jay Z wanatakiwa waifanyie video Harlem
 
Aunt Ezekiel mpe vipodozi na bwana ako ajichubue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…