Myao no 1 kua msaniiJamaa ni myao wa masasi
Kama vile amelamba limao
Nasikia amempa MoranoNa Boss wake kampa gari,jipyaaaa!! Nasubirii nichekeeeee!!!make humu ndani raha sana!!
Ha ha haaaa, ujue tunakuonaaa ohoooKama vile amelamba limao
Mbona anaonekana kama mfanya kazi wa ndani
King of all social networks,Huyu mwanamke wa Hamorapa angeendana Zaidi na kaka mkubwa king of all social networks.
Mkuu yan bora umenisemea..... yan kaenda jikon brek ya kwanza kwenye kikopoHahahaha mkuu yaani nilikuwa najiuliza sasa kile kikopo alichokishika kilikuwa kina ulazima gani kushikwa
Hahaha vzr kakaHahahahaha hii nchi bwana unaweza kufanua jambo dogo tu na la kijinga ukawa maarufu... harmo katumia sura yake ya kufanana na harmonize vizuri uyu dada nae akaona isiwe tabu akamtumia harmorapa vizuri
Hiv ninani cameramen apa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jf raha sana nimecheka hadi daradara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dogo haendani kabosa na huo upaja
Kwakweli huyo jamaa aifikirie kauli yake malambillmhh kauli kali na mbaya mno,kwani wahaya siyo takataka,maana kama unaeeza kumuita binadamu aliye kama wewe taka taka basi na wewe ni taka taka vile vile.
Mmmakonde huyo
Hahahaha mkuu mi yangu machoKwake sebuleni amna mziki Dogo Demu wake mkali kuzidi wangu ngoja nihamie Dar